Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Kuna wahandisi bila shaka wamepewa rushwa, Kwanini walikubali reli ipite juu na si barabara za magari na watu zipite juu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ilichukua muda gani mbona husemi? Taja ilianza kujengwa lini na ilimalizika lini?
Wewe una matatizo, hujasoma bandiko unakrupukia kukomentiIlichukua muda gani mbona husemi? Taja ilianza kujengwa lini na ilimalizika lini?
Achana nae,Kwani tuko darasani hapa? Ameandika hapo juu takribani miaka minne. Kuanzia miaka ya mwanzoni mwa 1970's na kukamilika rasmi 1975/6.
Una swali lingine?
Umeme Upo achilia Mbali Huu Mpya wa RufijiMkuu kwa Sasa tuna umeme wa uhakika kweli? Wakuendesha [emoji115]
Binadamu sijui tuna Shida gan yani Mtu ukichukia kitu unakichukua Mpaka unapitiliza..Haiwezi kuchukua Mrefu Hivyo chuki Zako Ndio zinakupa hay majibuKwa Kasi ya mradi wa Sasa inaweza kuchukua miaka 25 Hadi 30 reli kufika kigoma.
Hivi unachozungumza unakijua?Tatizo ni fund. Nyerere hakujenga TAZARA kwa pesa zetu. Mchina aligharamia mradi wote.
Sasa tunajenga SGR kwa pesa zetu. Tunadunduliza kidogo kidogo mpaka mradi ukamilike!
SGR kwa uelewa wako ni nini?Reli ya Tazara sio SGR wewe.
hivi sgr ni ya umeme?Umeme Upo achilia Mbali Huu Mpya wa Rufiji
Vyanzo vilivyopo vinavyo fanya kazi kwa Sasa vinatosha kuendesh huu Mradi
Sikijui... Wewe unayekijua tufafanulie.Hivi unachozungumza unakijua?
Naungana na hoja.Je, kunahujuma za muda wa kukamilika mradi unaofanywa na wakandarasi?
Reli ya tazara ilipitia njia ngumu Sana yenye milima na mabonde mengi. Lkn mradi ulichukua muda mchache Sana.
Ilijengwa kwa miaka tokea '71 mpaka '74tu. Yenye taaluma za zege Kama hii ya kisasa.
Kwa Kasi ya mradi wa Sasa inaweza kuchukua miaka 25 Hadi 30 reli kufika kigoma.
Ni vyema Miradi ya serikali iwe na time limit sio mradi unaanza hujulikani utakamilika lini.
Bia yetu naona mmeongeza mwanachama mwingine hapo LumumbaNa Rais Magufuli atajenga ndani ya muda mfupi. Rais Magufuli mwenye huruma na upendo tunamwamini
Na we unaamini ni kwa pesa zetu ?!Tatizo ni fund. Nyerere hakujenga TAZARA kwa pesa zetu. Mchina aligharamia mradi wote.
Sasa tunajenga SGR kwa pesa zetu. Tunadunduliza kidogo kidogo mpaka mradi ukamilike!
Unaelewa maana ya SGR au unataka kuleta ubishi tu. Tazara ni SGR.Reli ya Tazara sio SGR wewe.
Huyu pundakihongwe asikutoe kwenye reli na maswali yake ya kipuuzi.Kwani tuko darasani hapa? Ameandika hapo juu takribani miaka minne. Kuanzia miaka ya mwanzoni mwa 1970's na kukamilika rasmi 1975/6.
Una swali lingine?
mnadunduliza nini si huwa anasema hela zipoTatizo ni fund. Nyerere hakujenga TAZARA kwa pesa zetu. Mchina aligharamia mradi wote.
Sasa tunajenga SGR kwa pesa zetu. Tunadunduliza kidogo kidogo mpaka mradi ukamilike!
Nenda shule. Kumbe wewe bado ni mjinga kiasi hiki! TAZARA NI SGR. Kasome ujielimishe.Reli ya Tazara sio SGR wewe.
Barabara haikujengwa na Wamarekani. Ni Waitaliano.Naungana na hoja.
TAZARA ilijengwa kwa miaka mitano(5).
Ujenzi ulianza 1970 mpaka 1974.
Kwa siye tuliokuwepo miaka hiyo Mchina alitaka kwanza ku prove duniani kwamba teknolojia yake , spidi yake na uwezo kiujumla uko poa.
Na kweli alifanikiwa kuonyesha spidi kali ambayo kayika ujenzi wa reli bado haijafikiwa mahali pengi.
Umbali wa mradi kutoka Dar es salaam mpaka Kapiri Mposhi ni 1,860km, hii ni sawa kwa wastani kujenga kilometa 372 kwa mwaka.
Au kwa kuinganisha ni kama kujenga reli toka DSM Mpaka Mpwapwa kwa mwaka mmoja tu.
Ni dhahiri kuwa Mchina aliweka nguvu kubwa sana ya kifedha katika mradi maana alijua dunia nzima inautazama .
Miaka hiy Marekani ilikuwa ikiubeza mradi kma "The bamboo railway" ili kuukatisha tamaa.
Lakini Tanzania, Zambia na China hawakurudi nyuma.
Wakati huo huo, barabara ambayo iliitwa the TANZAM Highway ilikuwa iikijengwa na kampuni ya kimarekani, nafikiri ikiitwa Stirling Astaldi.
Pale Makambako yalitokea mapigano ya ngumi kali kalti ya wachina na wamarekani.
Manopita njia hiyo mnajua kwamba kuna muingiliano kati ya barabara na reli ya TAZARA.
Hizo ni simulizi za wakati huo.
TAZARA: How the great Uhuru Railway was built
Kwa vyovyote vile