johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Shujaa wa MazezetaHaya yote alisababisha JPM.
Wanajulikana ila ushahidi wa moja kwa moja wa kisheria ni ngumu kidogo!Nchi ilikiwa inaelekea kubaya sana!! Na si kuwekwa pembeni tu bali washitakiwe kwa kutumia madaraka yao vibaya ili iwe fundisho.
Endelea kunywa mbege manka!Sasa kichwa cha Habari: "Nyerere: Ukishakula nyama ya mtu huwezi kuacha ..." kinahusiana vipi na habari yako hii, kama sio 'dramatization' isiyokuwa na maana?
shida ni kwamba bado ana hela.Ila hii pimbi ilijisahau sana aisee, we mtu na kitambi chake anahema vile unamuuliza mzaha au sio mzaha? Nenda chini!
Akajiona yeye booooooonge la kipenzi cha jiwe na mfanyakazi bora. Sasa hivi wale jamaa bado wapo kazini yeye anawaza kuteuliwa akiwa home
Kuna wakati akili yako huwa unaikodisha?Endelea kunywa mbege manka!
Shujaa wa Mazezeta
Uzezeta wako haujifichiMazezeta ukoo wako, nyokololo wewe
Ngoja wale akina crimea, etwege, akina jingalao. Utashambuliwa hapa 🤣🤣🤣🤣Ni vema wale wakuu wa wilaya na mikoa wenye tuhuma za kutesa, kuteka, kuumiza na kutupa watu korokoroni bila sababu za msingi wakawekwa pembeni zama hizi za awamu ya 6.
Na Kigwangalla akawaombe radhi wale wazee aliowapigisha push up baada ya kuwahoji "mzaha siyo mzaha?" kinyume kabisa na sheria ya utumishi.
Ni angalizo tu maana kuna viongozi walishajigeuza kuwa majambazi.
Niishie hapo!
Mazezeta ukoo wako, nyokololo wewe