Nyerere: Ukishakula nyama ya mtu huwezi kuacha utaendelea tu

Nyerere: Ukishakula nyama ya mtu huwezi kuacha utaendelea tu

Ni vema wale wakuu wa wilaya na mikoa wenye tuhuma za kutesa, kuteka, kuumiza na kutupa watu korokoroni bila sababu za msingi wakawekwa pembeni zama hizi za awamu ya 6.

Na Kigwangalla akawaombe radhi wale wazee aliowapigisha push up baada ya kuwahoji "mzaha siyo mzaha?" kinyume kabisa na sheria ya utumishi.

Ni angalizo tu maana kuna viongozi walishajigeuza kuwa majambazi.

Niishie hapo!
Huyu mama hafukuzi nimeona hana jipya kiongozi alikuwa JK pekee huwezi kuwa na tuhuma ukabaki salama
 
ni kama wizi wa kura, yani ukishaanza huwezi kuacha kamwe.

20210417_054258.jpg
 
Back
Top Bottom