Nyie humu ndani kuna watu, halafu kuna watu wakorofi

Kuna uzi watu walibishana siku 3 mfululizo, halafu watu wenyewe wawili tu😁😁😹

Kuna jamaa mmoja ni nguli wa kuanzisha habari za Yanga na Simba, mwanzo nilikuwa namuogopa sana, ila kwasasa naona kama amepoa.

Na dogo mwingine ni Kenzy, yeye sio mkorofi ila majibu yake mkato mkato.
 
Ilo sambwanda kwenye avatar ni lako au ?
 
Kuna watu hapa jukwaani ongea vyote, ila usiguse mashangazi. La sivyo utakubali ligi yake.

Kuna wapenda mashangazi type ya mleta uzi.
 
Daaah πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œmi nilijichanganya kuna uzi unaweza kuona umepoa kumbe mule kina mabishano ya chini chini..

Siku nimeingia zangu aaaah kwanza nilipewa somo hilo nikajiona mi mweupe...

Kukaa kidogo akaja mwingine mpinzani nae akanipa somo nikabaki dilema..
Unabishana na watu ID zao wameweka jezi tu yaan majamaa mpaka nikawa nawauliza nyie mmefunga au maana sio wakienda kula yaani hap wanatuma picha mara maesabu mara hiki mara kile nikaona oooh ..

Huo uzi upo na sasa hv ukitaka kuona watu wapo we nenda ka comment kitu chochote uone hao majamaa
 
Kama umeogopa kuwataja kwanini sisi tuwataje? Unataka tupate ulichoepuka kama hatuna akili? Kwangu, mkorofi ni wewe. Nakutaja.
 
Kuna watu hapa jukwaani ongea vyote, ila usiguse mashangazi. La sivyo utakubali ligi yake.

Kuna wapenda mashangazi type ya mleta uzi.View attachment 3293374
Daaah maisha haya...πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Kwahyo mkuu ndo umeweka na picha na bonge la tag kabisa et...
Daaah imenisikitisha sana
 
Ila elimu ya advance ilijua kunitesa sana mkuu, kuna ile double indicator mpaka leo sielewi.
Yaani sielewi ilitokeaje nikawa kilaza vile
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ weeeeh weeeeh weeeh yamoto hyo..
Picha linaanza mpaka kujua imechange kwa volume ya ngapi kama ujaambiwa itoboi...

Ndo mana huwa tunaingia na majibu yetu then tunaanza chini kuja juu mpaka kupata volume...

Ile ukisema utoboe hv hv weee utajikuta unavuta acid kwenye pipette sijui bureete....

Alafu kuna moja hyo picha linaanza kabla ya ku puppete unachanganya na ile indicator clourless sijui inaitwaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…