Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 10,791
- 23,561
Uzi Upi huo?Daaah 😂😂😂🙌🙌🙌mi nilijichanganya kuna uzi unaweza kuona umepoa kumbe mule kina mabishano ya chini chini..
Siku nimeingia zangu aaaah kwanza nilipewa somo hilo nikajiona mi mweupe...
Kukaa kidogo akaja mwingine mpinzani nae akanipa somo nikabaki dilema..
Unabishana na watu ID zao wameweka jezi tu yaan majamaa mpaka nikawa nawauliza nyie mmefunga au maana sio wakienda kula yaani hap wanatuma picha mara maesabu mara hiki mara kile nikaona oooh ..
Huo uzi upo na sasa hv ukitaka kuona watu wapo we nenda ka comment kitu chochote uone hao majamaa