Light Saber Imetosha Sasa
JF-Expert Member
- Nov 3, 2017
- 5,182
- 9,586
Mtajenga kweli kakazangu😂😂
Dada Yangu , kujenga na twetwe twe kunahusuana Nini Maayo (In kisukumas accent)
Mtajenga kweli kakazangu😂😂
I like it this way, ...Ukiwa mpole sana unadharaulika
Jina lako nimelipenda kwani linaonyesha jinsi umbile lako lilivyojazia, wewe ni yale orijino siyo ya Mlogazila.Kuna wakaka wastaarabuuu....yaani mpaka unasema mwenyewe enheeeh. .....huyu ndo mtu. Hata IDs zao tu unaona wapoleeeee. Na wakiandika wanaandika mambo ya maana mpaka unafurahia kuwa JF. wapole sana hata hawana matusi .
Ningesema niwataje majina ila naogopa watajeni wenyewe.
Halafu kuna wale wengine....mama weeeeeh....washari haoooo. Mmmhn.wakorofi na wagomvi yaani anaweza anzisha uzi ukaogopa hata kuchangia. Unajuwa tu kuwa anaweza nifikiria vibaya akaanza kunitukana.Wana matusi na wagomvi tu muda wote kutafuta ugomvi.mi sipendi jamani.sipendi ugomvi na mtu.
Mnafanya hata wengine tuogope kuanzisha uzi au kuchangia maana mnaanza matusi na maugomvi si wengine hatuna nguvu hizo. Mi sitaki maneno na mtu. Tukae tu kwa kupendana. Sawa eeeeh? Tusigombane jamani si vizuri ni dhambi mjue.
Haya mpumzike waty wazuri. Usiku mwemani.
Aisee!! Ingekuwa pw kama ungetubless na ka uzi mrua " i was somewhere,sasa basi mwaka mzima...." malizia kabisa👿I like it this way, ...
I was somewhere , Sasa basi Mwaka mzima nobody knows me .. yule jamaa itakuwa .. Jogoo hapai.. yule jamaa pasta , yule jamaa mtumishi ... As I am soft spoken tuu ... MARA WANIITE TICHA .. MARA POTI ..
kumbe hawajui walisemalo...
Kama chui
Sipendi show offs...
Asiogope mikwara. Dunia ni uwanja wa fujo 😀Kijana mpole 😃
Hahaha!😂😂😂😂😂 weeeeh weeeeh weeeh yamoto hyo..
Picha linaanza mpaka kujua imechange kwa volume ya ngapi kama ujaambiwa itoboi...
Ndo mana huwa tunaingia na majibu yetu then tunaanza chini kuja juu mpaka kupata volume...
Ile ukisema utoboe hv hv weee utajikuta unavuta acid kwenye pipette sijui bureete....
Alafu kuna moja hyo picha linaanza kabla ya ku puppete unachanganya na ile indicator clourless sijui inaitwaje
Kwa sisi wengine bado ujakutana na mgote phy... Projectile ni kama upo NASAHahaha!
Science forever
Hapo kwenye Simba na yanga jamaa uki m cross.Kuna uzi watu walibishana siku 3 mfululizo, halafu watu wenyewe wawili tu😁😁😹
Kuna jamaa mmoja ni nguli wa kuanzisha habari za Yanga na Simba, mwanzo nilikuwa namuogopa sana, ila kwasasa naona kama amepoa.
Na dogo mwingine ni Kenzy, yeye sio mkorofi ila majibu yake mkato mkato.
Unajitahidi sana sheikh wangu ila bado.Mwanamke Babaako...!!
Dogo watu tumelala na mademu wakali unatuamsha unataka kukalia mkwaju eeeeh? Shauri yakoHawa watu humu ndani ni matusi na ugomvi. Nimewaona kwenye nyuzi nyingi sana. Sijaona wanawake wenye matusi au ugomvi na najua wakija hapa watatukana. Wabadilike tabia sasa. Huwa wengine hawamalizi mwezi wanapigwa ban.
GENTAMYCINE
Chizi Maarifa
Komeo Lachuma
ngara23
Lamomy
😁😁😹Hapo kwenye Simba na yanga jamaa uki m cross.
Uta rusha ngumi kwenye comment 🤣😂🤣
Najitahidi Kukukaza Kunakotukuka kila Siku au?Unajitahidi sana sheikh wangu ila bado.
Nyie watu wafupi ni shida sana endelea najua tatizo lakoNajitahidi Kukukaza Kunakotukuka kila Siku au?
Tatizo langu najua ni kupita nawe Milango yako yote Miwili huku Nikikushindilia nao wote.Nyie watu wafupi ni shida sana endelea najua tatizo lako