Nyie humu ndani kuna watu, halafu kuna watu wakorofi

Nyie humu ndani kuna watu, halafu kuna watu wakorofi

Tatizo langu najua ni kupita nawe Milango yako yote Miwili huku Nikikushindilia nao wote.
Dwarfs huwa wanakuwa hivi wakiamini ndo wanaonekana wa kawaida. Utoto mwingi sheikh wangu mbilikimo. Unajipapatua kambilikimo uonekane mtu wa maana. Huwa mbilikimo ukimwona anauliza umenionea wapi. Ili afurahi mwambie nimekuonea kuleeeee...ndo anafurahi. Thats what you are doing. Mbilikimo hadi kwenye akili. Leta maneno shorty.
 
Usijali mambo madogo haya. Umekula? Una number ambayo inapokea pesa kwa haraka bila kikomo? Nitumie nikurushie vipesa kidogo upate kitu huo mwili unahitaji care mrembo.
Mmmmmh..... Mi naogopa hata kukujibu nisije nikakukwaza bure ukanichamba. Mi nashukuru baba angu nimeshakula nimeshiba. Asante sana ubarikiwe. Usinielewi vibaya sitaki kukusumbua wewe mtu mwema sana. Asante sana. Kama nimekuudhi sehemu baba unisamehe tu sawa eeeeh?
 
Dwarfs huwa wanakuwa hivi wakiamini ndo wanaonekana wa kawaida. Utoto mwingi sheikh wangu mbilikimo. Unajipapatua kambilikimo uonekane mtu wa maana. Huwa mbilikimo ukimwona anauliza umenionea wapi. Ili afurahi mwambie nimekuonea kuleeeee...ndo anafurahi. Thats what you are doing. Mbilikimo hadi kwenye akili. Leta maneno shorty.
Umbilikimo / Ueskimo / Uemolo wangu ndiyo huo huo Unaokukaza kila Uchwao na Mauno kunikatia.
 
Kuna wakaka wastaarabuuu....yaani mpaka unasema mwenyewe enheeeh. .....huyu ndo mtu. Hata IDs zao tu unaona wapoleeeee. Na wakiandika wanaandika mambo ya maana mpaka unafurahia kuwa JF. wapole sana hata hawana matusi .

Ningesema niwataje majina ila naogopa watajeni wenyewe.

Halafu kuna wale wengine....mama weeeeeh....washari haoooo. Mmmhn.wakorofi na wagomvi yaani anaweza anzisha uzi ukaogopa hata kuchangia. Unajuwa tu kuwa anaweza nifikiria vibaya akaanza kunitukana.Wana matusi na wagomvi tu muda wote kutafuta ugomvi.mi sipendi jamani.sipendi ugomvi na mtu.

Mnafanya hata wengine tuogope kuanzisha uzi au kuchangia maana mnaanza matusi na maugomvi si wengine hatuna nguvu hizo. Mi sitaki maneno na mtu. Tukae tu kwa kupendana. Sawa eeeeh? Tusigombane jamani si vizuri ni dhambi mjue.

Haya mpumzike waty wazuri. Usiku mwemani.
Kuna mtu anaandaliwa assignment
 
Upole is overrated.

Wapole wengine wana upungufu wa nguvu za kiume hao.

Au wengine ni Simba mwenda pole, ndio wala nyama. Ukiwakuta wanakula hao utashangaa mwenyewe kama hawa ndio wale wale wapole au wengine hawa?
Simba mwendapole iko gonjwa, ukiona simba mzee anazulula ujue kafukuzwa kwenye boma, (kashindwa kutoa Kodi ya meza), kikikiki
 
Back
Top Bottom