Nyie humu ndani kuna watu, halafu kuna watu wakorofi

Ndiyo me Biology ilikuwa ni BS tu naitumia, understanding biology ni partial concepted sana. Na niliacha tumia siku nimesoma zile "did you Know?"

Hapo understanding Biology wanakwambia Nephron ya kwenye figo yaweza fikia 6 million kilometers ikivutwa kuelekea kwenye jua, tangu hapo nikasema msinitanie bakini na desa lenu. Watu waongo nyie, hata kama sijui ndiyo unidanganye hivyo sasa?

Khaa! Understanding Biology🙌
Wee jau sana mimi sasa ile understanding nilikua naipenda aiseee an mda wote nasoma did you know...

zle ni za ukweli mkuu.. an hakuna cha kukuongopea pale an ikafikia kipindi nikawa nawaadithia watu maana nilikua kazi yangu kusoma fact alafu nakuja kuwapa story egm naokaa nao room pale..

Bs ubaya wake uwe unafatilia A to Z an bila ya hvo uwezi toboa utaona mizinguo tu..
Pia maswali mengi mock na nect wanatoa mule

Bs niliona hovyo nilipogusa genetics 😂😂😂🙌🙌🙌🙌
 
Genetics 😂, peacock, rose, walnut comb na mavituz ya ajabu ajabu tu, dah!
 
Umesahau pia hapo unaambiwa by parnet square..
Oaa weeee alafu unakuta swali moja lina 20 mark so ukizingua huku kwa pannet squar basi utoboi..

Bs wanakuambia glycolysis ina 7 step. Kwa paper wanataka step 12...

Ukija kwa josephat anazo zote 12...😂😂😂🙌🙌
 
Mpaka unaanza aminishwa eti Josephat huwa yupo kwenye jopo la watunga ACSEE duh. kutiana pressure tu
 
Unajua form V nilifukuzwa kwa kipindi kisa kutumia vitini vya jamaa.
Basi nikawa nina heavy bifu na ticha wa bios yaan five nzima mi nilisoma class topic 3 tuu zingine zote nilikua nasoma room maana ticha hakutaka kuniona.

Josephat karahisisha mambo sana aiseee yaani kuna watu walitaka tuteseke tuuu 🙌🙌🙌🙌🙌 ila phy mwisho maana maswali yalikua yanatolewa hayo hayo ila wapi...
 
Na aliyekufukuza ni msagati bila shaka.
 
Mi staki ugomvi na mtu kabisa kuna watu wanatukana humu utasema walisomea...maugomvi tu nitawataja na mwingine ana matusi anaitwa gmycine yeye uzi wake akiguswa tu yu atukana mpaka wazazi wa mtu. Wallah huwa nashangaa tu ni nini.
Pole sana Ma Mshuza
 
Yaaah anakwambia kaletwa katika tunia ya duara kwa hiyo kazi tu...
Ila kwenye dini kuna miamba hiyo aiseee waache tuu
Yaani kuna watu nawaonaga kwenye mada za dini tu mpaka natamani niende kuwatag kwenye uzi wa kimasihara au picha za warembo ili na wao wachangie kidogo.
 
Kuna jamaa mwingine anaitwa shimba ya buyenze huyo ukimkosa humu mtafute uzi wa warembo ule wa picha 😂😂😂😂😂😂
 
Mkuu nasikia upo humu tangu 2009 kazi yako ni kuwawashia moto wote watakaothubutu kusema Mungu yupo!
Mungu (mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote) angekuwapo, watu wasingehitaji kusema yupo.

Ukiona watu wanatetea sana hoja za kusema Mungu yupo, ujue ni kwa sababu Mungu mwenyewe hayupo na hivyo hawezi kujisemea kwamba yupo.

Mjadala mzima wa kubishania uwepo wa Mungu ni ushahidi kwamba huyo Mungu hayupo.

Angekuwapo, kila mtu angejua kwa uhakika yupo kiasi ambacho mjadala huu usingewezekana.

Hapa JF ushawahi kuona watu wanajadiliana hewa ipo, au maji yapo?

These are things that are so obvious we don't need to argue over.

Sasa kwa nini Mungu naye asingejidhihirisha kwa uwazi bila utata kwa watu wote hivyo na kutuepusha na mizozo hii?

Kutojidhihirisha hivyo ni ukatili. Watu wanauana kwa ubishi wa mambo ya Mungu.

Mungu huyo angekuwapo, asingekuwa mkatili hivyo.

Kuwapo kwa mzozo huu ni ushahidi kwamba Mungu huyo hayupo.
 
Mkuu role model wako nani kwenye masuala ya falsafa
 
Back
Top Bottom