Nyie humu ndani kuna watu, halafu kuna watu wakorofi

Nyie humu ndani kuna watu, halafu kuna watu wakorofi

Mqmbo ni fayaaa mamiii

Yaani Hadi Siyo powa ...

Picha linaanza.. tunaingia Stadium ... Kabla ya kufika kwa pitch ... Kaneel down ... Kwa stage she wanna sing hallelujah.. grab a mic na performance imeanza... ..


Gadeim ...

Acha niishie hapa ...
Mtajenga kweli kakazangušŸ˜‚šŸ˜‚
 
Mi staki ugomvi na mtu kabisa kuna watu wanatukana humu utasema walisomea...maugomvi tu nitawataja na mwingine ana matusi anaitwa gmycine yeye uzi wake akiguswa tu yu atukana mpaka wazazi wa mtu. Wallah huwa nashangaa tu ni nini.
 
Kuna ID's nyingi zimejiweka kiwendawazimu kwa sababu kwenye maisha yao halisi wanaheshimika sana, kwa hiyo jf ndio chaka la kujiachia na kutokuwa serious kiasi siku ukikutana nae hutoamini kama ni yeye.
 
Mi staki ugomvi na mtu kabisa kuna watu wanatukana humu utasema walisomea...maugomvi tu nitawataja na mwingine ana matusi anaitwa gmycine yeye uzi wake akiguswa tu yu atukana mpaka wazazi wa mtu. Wallah huwa nashangaa tu ni nini.
GENTAMYCINE unaitwa huku we mtoto
 
Hivi wewe na ma mshuzi mnaundugu (šŸ¤”) mama mshuzi anabonge ya tako
 
Kuna wakaka wastaarabuuu....yaani mpaka unasema mwenyewe enheeeh. .....huyu ndo mtu. Hata IDs zao tu unaona wapoleeeee. Na wakiandika wanaandika mambo ya maana mpaka unafurahia kuwa JF. wapole sana hata hawana matusi .

Ningesema niwataje majina ila naogopa watajeni wenyewe.

Halafu kuna wale wengine....mama weeeeeh....washari haoooo. Mmmhn.wakorofi na wagomvi yaani anaweza anzisha uzi ukaogopa hata kuchangia. Unajuwa tu kuwa anaweza nifikiria vibaya akaanza kunitukana.Wana matusi na wagomvi tu muda wote kutafuta ugomvi.mi sipendi jamani.sipendi ugomvi na mtu.

Mnafanya hata wengine tuogope kuanzisha uzi au kuchangia maana mnaanza matusi na maugomvi si wengine hatuna nguvu hizo. Mi sitaki maneno na mtu. Tukae tu kwa kupendana. Sawa eeeeh? Tusigombane jamani si vizuri ni dhambi mjue.

Haya mpumzike waty wazuri. Usiku mwemani.
Halafu kuna wale wengine....mama weeeeeh....washari haoooo. Mmmhn.wakorofi na wagomvi yaani anaweza anzisha uzi ukaogopa hata kuchangia. Unajuwa tu kuwa anaweza nifikiria vibaya akaanza kunitukana.Wana matusi na wagomvi tu muda wote kutafuta ugomvi.mi sipendi jamani.sipendi ugomvi na mtu.🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom