Nyie humu ndani kuna watu, halafu kuna watu wakorofi

Watu wengi huchanganya au hushindwa kutofautisha baina ya UPOLE na UKIMYA.
Mtu anaweza kuwa MPOLE lakini akawa si MKIMYA na ni mzungumzaji sana lakini si mropokaji. Na mwingine anaweza kuwa MKIMYA lakini akawa si MPOLE.
 
Kuna mtu anaingizwa 18 za demu wa jf kilain😂😂
 
Ni hatarii...ila watu kama hao unanyanyuka nao...
 
Roger Muncaster, Nelkon parker, jamani eeh, mateso tumeyapitia.
Kuna Ramsden chemistry, Mmh! njaa lazima ikujie tu
Ongezea Tranta mixer University physics, dakika za jiooni CHAND zikatoka kila idara! Ukimbwela unadata huku unaona
 
Ahahaha unaambiwa roger jamaa hana solution an ni majibu tu na unaambiwa majibu yake yapo sahihi mybe ukosee wewe.. kuna vtu uwezi kukuta kwa hao wengine zaidi zaidi unakuta kwa roger tuu.. ( concept ya binary star)..

Huku Ramsden jamaa ndo kirabu chake unakuta kidogo lakini unaambiwa kakata physical chem yote... Alafu yupo shortly tuu
Chemia tulikomaa sana na kina unga na ngaiza
Kuna wanangu wa bios unaambiwa huku huwezi toboa na other material rather than BS na Advanced biology...

Oaaa ukitoka hapo unachoka leo hii nakula boom la mama samia alafu kuna mtu anasema pesa zipunguzwe manina 😂😂😂😂
 
Namuogopa mtu anaye solve universal ahahahaha unakuta mzigo unit zake zipo kwenye km/hr kwanza uanze ku deal na unit maninaaaaa...

Chand ndo karahisisha mambo dadek.
We assume kipind hiko chand hayupo wana walikua wanatoa wapi majibu ya conceptual question....😂😂😂😂🙌🙌🙌
 
Ongezea Tranta mixer University physics, dakika za jiooni CHAND zikatoka kila idara! Ukimbwela unadata huku unaona
Ni hatari mkuu, ile level kufaulu ni Mungu tu, asingetaka ningekwama yaani.
 
Ahahaha unaambiwa roger jamaa hana solution an ni majibu tu na unaambiwa majibu yake yapo sahihi mybe ukosee wewe.. kuna vtu uwezi kukuta kwa hao wengine zaidi zaidi unakuta kwa roger tuu.. ( concept ya binary star)..

Huku Ramsden jamaa ndo kirabu chake unakuta kidogo lakini unaambiwa kakata physical chem yote... Alafu yupo shortly tuu
Chemia tulikomaa sana na kina unga na ngaiza
Kuna wanangu wa bios unaambiwa huku huwezi toboa na other material rather than BS na Advanced biology...

Oaaa ukitoka hapo unachoka leo hii nakula boom la mama samia alafu kuna mtu anasema pesa zipunguzwe manina 😂😂😂😂
Ndiyo me Biology ilikuwa ni BS tu naitumia, understanding biology ni partial concepted sana. Na niliacha tumia siku nimesoma zile "did you Know?"

Hapo understanding Biology wanakwambia Nephron ya kwenye figo yaweza fikia 6 million kilometers ikivutwa kuelekea kwenye jua, tangu hapo nikasema msinitanie bakini na desa lenu. Watu waongo nyie, hata kama sijui ndiyo unidanganye hivyo sasa?

Khaa! Understanding Biology🙌
 
Back
Top Bottom