Tomaa Mireni
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 2,395
- 2,391
Sasa wao hawasemi mbinu walizotumia kufaulu,kitu ambacho ni kibaya kwa vijana wajaoNadhani ulimuelewa vibaya, anamtanguliza Mungu katika masomo yake, kama Rais wetu anavyosisitiza, kwamba tumtangulize Mungu kwa kila jambo (la heri) tufanyalo. Hata Mungu mwenyewe amesema jisaidie (jitahidi) nami nitakusaidia.
Ndio mana unakuta mijitu imekopa badala ya kufanya kazi yalipe yanaenda kukesha makanisani yakisubiri Mungu awafutie madeni yaoSio hao madogo tu, hata matajiri wengi waliopata utajiri wao kwa dhulma na unyonyaji wa wafanyakazi wao hupenda sana kuanza na huo msemo.
Kabisa mkuu,usipokuwa makini utadumaa kwa kuaminiHabari za Mungu ni kama kibwagizo tu mzee usichukulie serious..
Watu wanatoa rushwa za ngono wapande vyeo, wanahonga wapate kazi, mwingine kapata kazi kwa connection tu ila utasikia ni Mungu tu, Omba Mungu.
Ni moja ya kauli inayodumaza akili za waafrika, hata watu wenye pesa/mafanikio wanaamini Mungu ndo kawapa!
HahahaaaHabari za Mungu ni kama kibwagizo tu mzee usichukulie serious..
Watu wanatoa rushwa za ngono wapande vyeo, wanahonga wapate kazi, mwingine kapata kazi kwa connection tu ila utasikia ni Mungu tu, Omba Mungu.
Ni moja ya kauli inayodumaza akili za waafrika, hata watu wenye pesa/mafanikio wanaamini Mungu ndo kawapa!
Kwa hiyo ukienda kuiba na kufanikiwa bila kuonekana napo ni Mungu kakusaidia?Kwa mtu yoyote mwenye kumuamini Mungu lazima atamuweka Mungu mbele kwa chochote hata kama ni kidogo maana anajua juhudi zake zimefanikiwa kwa msaada wa Mungu.
Na ikumbukwe tu katika kufanikiwa kila mtu ana njia zake na bahati yake. Tunaweza wote kwenda njia sawa ila mwisho wa siku matokeo yakaja tofauti.
Kuiba ni dhambi na Mungu amekataza hiloKwa hiyo ukienda kuiba na kufanikiwa bila kuonekana napo ni Mungu kakusaidia?
Nimenukuu hapo☝️. Ila tambua sio mafanikio yote yanatokana na Mungulazima atamuweka Mungu mbele kwa chochote hata kama ni kidogo maana anajua juhudi zake zimefanikiwa kwa msaada wa Mungu.
Ndio ni Mungu.Kwa hiyo ukienda kuiba na kufanikiwa bila kuonekana napo ni Mungu kakusaidia?
ujamjibu swaliKuiba ni dhambi na Mungu amekataza hilo
Hakuna mbinu yoyote zaidi ya kujituma kwenye masomo.Sasa wao hawasemi mbinu walizotumia kufaulu,kitu ambacho ni kibaya kwa vijana wajao
Wapo wanaotumia nguvu za giza katika kufanikiwa. Ndio maana mwanzo nimesema kwa wanaomuamini Mungu.Nimenukuu hapo☝️. Ila tambua sio mafanikio yote yanatokana na Mungu
Wewe ndy umeelewa vibaya, soma alichosema yule dogo Tanzania one harafu soma thread vizuri.Nadhani ulimuelewa vibaya, anamtanguliza Mungu katika masomo yake, kama Rais wetu anavyosisitiza, kwamba tumtangulize Mungu kwa kila jambo (la heri) tufanyalo. Hata Mungu mwenyewe amesema jisaidie (jitahidi) nami nitakusaidia.