Nyie madogo mnaofaulu mitihani acheni kuwadanganya wenzenu kuwa mnamtegemea Mungu

Mkuu serious kabisa??

Kufeli kwa jirani yako ni mapenzi ya Mungu? Na yule aliefaulu? Mbona kama mungu anabagua wakufaulu na wakufeli sasa? Huyo mungu gani?
Boy ukiona ndani ya mada kuna watu watu wanamjadara penda kuunzia mwanzo then ndio uchangie hapo nime m-mock jamaa kwamfano kuwa anachoamini si sahihi nimemtolea mfano wa kauri anayoongea Aliyefeli sasa....natumia nguvu nyingii aise let me sleep
 
Kausha tu,nyie ndio mmaompa Mungu lawama na kumwona mkatili
 
Wanamsingizia Mungu. Mimi kwenye darasa letu ndiye nilikuwa mcha Mungu kuliko wote, ndiye nilikuwa nawafundisha neno, Hivyo hata kwenye mtihani sikupiga chabo hata swali moja sababu kupiga chabo ni wizi, lakini nilipata division 4. Wale wapiga chabo walipata 1,2,3. Alafu wanasema ni mungu tu.
 
Sio hao madogo tu, hata matajiri wengi waliopata utajiri wao kwa dhulma na unyonyaji wa wafanyakazi wao hupenda sana kuanza na huo msemo.
Hata Magu 👿 anamtegemea mungu, tena anapiga goti mbele ya altare kwa unyenyekevu mkuu
 
Mkuu ukiwafuata hao vichwa kama wewe kichwa chako ni kizito utapotea, maana wengi huwa wanatumia muda mchache sana kwenye kusoma.
 
Wanamsingizia Mungu. Mimi kwenye darasa letu ndiye nilikuwa mcha Mungu kuliko wote, ndiye nilikuwa nawafundisha neno, Hivyo hata kwenye mtihani sikupiga chabo hata swali moja sababu kupiga chabo ni wizi, lakini nilipata division 4. Wale wapiga chabo walipata 1,2,3. Alafu wanasema ni mungu tu.
Asante kwa ushuhuda mkuu...haya mambo wanaenda nayo kimazoea,ila badae ni madhara kwa vijana wanaokuja. Kweli uache kukaza umtegemee mungu tu!!🤔
 
Back
Top Bottom