wengi wetu tunautumia kama back up plan Fulani hivi ..nadhani tunakwenda na kuwaaminisha watu namna hovuSio hao madogo tu, hata matajiri wengi waliopata utajiri wao kwa dhulma na unyonyaji wa wafanyakazi wao hupenda sana kuanza na huo msemo.
hahaha lakini ishu ni kuwa kwann wanasemaga ni Mungu tu wanaacha kusema bwana ishu ilikuwa ni jitihada bnafsi na mambo tofauti tofauti piaWewe ndy umeelewa vibaya, soma alichosema yule dogo Tanzania one harafu soma thread vizuri.
Mpaka wasiojulikana watandika risasi watu huwa wanamtanguliza Mungu eti!!Nadhani ulimuelewa vibaya, anamtanguliza Mungu katika masomo yake, kama Rais wetu anavyosisitiza, kwamba tumtangulize Mungu kwa kila jambo (la heri) tufanyalo. Hata Mungu mwenyewe amesema jisaidie (jitahidi) nami nitakusaidia.
Mwingine labda alifanya juhudi za kawaida tu kama ni kusoma alisoma kawaida kama anavyosomaga mitihani ya shule ila matokeo akajikuta kaongoza Taifa nzima so lazima cha kwanza amshukuru Mungu na kusema Mungu ndio kamuwezesha.hahaha lakini ishu ni kuwa kwann wanasemaga ni Mungu tu wanaacha kusema bwana ishu ilikuwa ni jitihada bnafsi na mambo tofauti tofauti pia
Mafanikio yooote hapa duniani anayasababisha Mungu hata waabudu mizimu nk.Wapo wanaotumia nguvu za giza katika kufanikiwa. Ndio maana mwanzo nimesema kwa wanaomuamini Mungu.
Hao wanaotumia njia zingine siwezi kuwaongelea.
Ndio nilichotaka wasiishie tu kusema ni Mungu waongeze mbunu na jitihada pia ili kuwachallenge wengine piaSijaona ulipopinga kwamba huyo aliyefauru hayupo sahihi bali nimeona umekubali kuwa yupo sahihi ila aongeze maneno kuwa alifanyajefanyaje pia.
Pole sana,basi hakuna haja ya kupingana na shetani sasaMafanikio yooote hapa duniani anayasababisha Mungu hata waabudu mizimu nk.
Ni hivi Mungu amekuacha huru uchague njia wewe mwenywe then yeye anakufanikishia kulingana na njia hiyohiyo uliyo chagua Siri kubwa Mungu anafanikisha zaidi Wale wanaofata njia haramu au za kumuhasi kuliko njia nzuri.
Kwanini hivi, hii ni mitihani yake kwasisi viumbe.
kwani hao matajiri wa dhulma hawamtegemei Mungu.Sio hao madogo tu, hata matajiri wengi waliopata utajiri wao kwa dhulma na unyonyaji wa wafanyakazi wao hupenda sana kuanza na huo msemo.
Kwa hiyo waliofeli Mungu kawafeshaNdio ni Mungu.
Hemu eleza hoja yako then nitakujibu vizuri Kama utataka kuelimika.Pole sana,basi hakuna haja ya kupingana na shetani sasa
Wanamtegemea mungu wa dunia labda, lakini sio muimbajikwani hao matajiri wa dhulma hawamtegemei Mungu.
Vipumbavu sanaUkisikiliza vijana wengi waliofanya vizuri kwenye mitihani yao wanadai ni Mungu tu.
Maswali ya kujiuliza
1.Swali linakuja je waliofeli wao hawakumtegemea?
2. Hawakusoma ila Mungu ndio aliwapa majibu au?
3. Kuna wasioamini Mungu lakini wanafanya makubwa,wao wanamtegea nani?
Ushauri wangu kwao. Kabla hujasema ni Mungu,anza kutaja jitihada/mbinu ulizotumia kusoma na kufaulu alafu Mungu akakusaidia na sio kuwaingiza choo wengine.
Hakuna Mungu anaeweza kumsaidia mjinga. Madhara ya kauli hizi ni kuathirika kwa vijana wengine ambao bado hawajamaliza,wanaweza kuamua kuacha kusoma na kushinda makanisani kumsubiri Mungu afanye miujiza kwenye mitahani yao.
Hawa madogo wanapaswa kukemewa sana, bila hivyo wataaribu wengine kwa mtazamo waoVipumbavu sana
Mwanafunzi Paul Luziga (17), kutoka katika Shule ya Sekondari Panda Hill ya mkoani Mbeya, ambaye ameongoza kwenye matokeo ya kidato cha nne kitaifa mwaka huu, amesema siri kubwa ya yeye kufanya vizuri ni kumtegemea Mungu.wengi wetu tunautumia kama back up plan Fulani hivi ..nadhani tunakwenda na kuwaaminisha watu namna hovu
Mungu kafanikisha kile walichokiendea, hawajafanya factors zitazowapelekea kufauruKwa hiyo waliofeli Mungu kawafesha
Kwa hiyo karibia asilimia 50 ya waliofeli (division 4 au sifuri) hawamtegemei Mungu? Hii ni tabia ya uongo ambao wanaanza kufundishwa mapema na wazazi wao, na baadae wakikua hata pale ambapo wameiba kura au kuiba mali ya umma na kufanikiwa huendelea kusema ni Mungu amewasaidia.Nadhani ulimuelewa vibaya, anamtanguliza Mungu katika masomo yake, kama Rais wetu anavyosisitiza, kwamba tumtangulize Mungu kwa kila jambo (la heri) tufanyalo. Hata Mungu mwenyewe amesema jisaidie (jitahidi) nami nitakusaidia.
Tatizo munachanganya sana misamiati bila kujua maanaWanamtegemea mungu wa dunia labda, lakini sio muimbaji
Alisema wengine hawamtegemei Mungu au maneno yako tu.Kwa hiyo karibia asilimia 50 ya waliofeli (division 4 au sifuri) hawamtegemei Mungu? Hii ni tabia ya uongo ambao wanaanza kufundishwa mapema na wazazi wao, na baadae wakikua hata pale ambapo wameiba kura au kuiba mali ya umma na kufanikiwa huendelea kusema ni Mungu amewasaidia.