Nyie madogo mnaofaulu mitihani acheni kuwadanganya wenzenu kuwa mnamtegemea Mungu

Hata kwenye soka hivyo hivyo,mambo ya imani kila mahali.Mungu ni wa wote na siyo kwa wanaofaulu tu.Waambie wajifunze,na hali hii ipo kwenye nchi za dunia ya tatu.
 
Kuna jamaa ni jambazi sugu na ameshaua sana tuu, lakini ukiingia kwenye gari lake ni nyimbo za dini mwanzo mwisho, kiufupi wengine wanasema tuu Mungu kwa kumdhihaki na kuwaonyesha walimwengu but matendo yao mabaya tuu.
 
Sio hao madogo tu, hata matajiri wengi waliopata utajiri wao kwa dhulma na unyonyaji wa wafanyakazi wao hupenda sana kuanza na huo msemo.
mbona kama unamsema mwamedi kwani kakukosea nini?
 
Kuna jamaa ni jambazi sugu na ameshaua sana tuu, lakini ukiingia kwenye gari lake ni nyimbo za dini mwanzo mwisho, kiufupi wengine wanasema tuu Mungu kwa kumdhihaki na kuwaonyesha walimwengu but matendo yao mabaya tuu.
Wapo wa hivyo wengi, la muhimu mtu ni kutenda yaliyo mema ili mwisho wa siku uishi kwa amani
 
Hata kwenye soka hivyo hivyo,mambo ya imani kila mahali.Mungu ni wa wote na siyo kwa wanaofaulu tu.Waambie wajifunze,na hali hii ipo kwenye nchi za dunia ya tatu.
Ndio mana tunafeli mambo mengi sababu ya kauli hizo za kijinga. Sa kama wote mnamtegemea Mungu basi washinde wote
 
Tafsiri yake ni nini sasa,kama wote wanamtegemea mungu basi wote wangefaulu. Au Mungu ni mbaguzi?
Yaani mimi nikisema namtegemea Mungu hii inamaana nimesema wewe hamtegemei WTHell
 
Unajua madhara yake? Kwani hakuna waliokuwa wanasoma na wamefeli?
Mkuu tujadiri vitu vilivyo na fact kuelewana

Mimi noseme Mungu ananipenda wewe useme kauri yangu nimemaanisha wewe upendwi na Mungu Huu si udikteta kabisa tena wakidini na kiimani

Ok jirani yangu kafeli nilovyomuuliza kasema yote ni mapenzi ya Mungu mimi nataka nimshitaki kwanini aseme hivyo kwahiyo anamaanisha mdogo wangu aliyefauru Mungu hana mapenzi nae.
 
Nadhani ulimuelewa vibaya, anamtanguliza Mungu katika masomo yake, kama Rais wetu anavyosisitiza, kwamba tumtangulize Mungu kwa kila jambo (la heri) tufanyalo. Hata Mungu mwenyewe amesema jisaidie (jitahidi) nami nitakusaidia.
Hili andiko lipo kwenye kitabu gani
 
Ww sikuelewi kabisa,nyie ndio mnamuona Mungu mbaya
 
Unachomaanisha ni kuwa mungu mbaguzi? Kwamba dogo huyu amefaulu na huyu amefeli yote ni mapenzi ya mungu!!!πŸ€”πŸ€”πŸ€” Dah!!
wewe jamaa ni mweupe sana kichwani

Again

wewe una ubongo mdogo Sana, umeshindwa kuelewa nilichoandika aisee sichangii tena hii mada.
 
Ndugu mbona kama vile una Jazba nao sana hivi? au labda Wewe Mwenyewe enzi zako pamoja na Wanao wa sasa hamjawahi hata Kufaulu Shule?
 
Mkuu serious kabisa??
Ok jirani yangu kafeli nilovyomuuliza kasema yote ni mapenzi ya Mungu
Kufeli kwa jirani yako ni mapenzi ya Mungu? Na yule aliefaulu? Mbona kama mungu anabagua wakufaulu na wakufeli sasa? Huyo mungu gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…