Nyie mnaonaje kuhusu hili

WEWE NDO UNAMPENDA NA BADO UNAPENDA KUDANGANWA MWENYEWE MAANA UNASUBIRI NINI SIJUI....AS A MAN NASEMA HUYO YUPO NAWE ILIMRADI..MAMBO YA WE WA KISHUA NI UJINGA..NO FUTURE HAPO MGEGEDANE TU..ILA NENO LANGU SIO SHERIA ANAWEZA KUWA NA FUTURE HIZO NI WEAKNES TU ZA KUREKEBISHIKA...ILA ANGALIA KWA JICHO LA TATU
 
Hapo pita tu,,ila kuna wanaume wanajua kucare nyie ,wengine sasa sijui roho mbaya na uchoyo
 
Mapenzi ya kujificha ya nini sasa si bora uwe peke yako,,japo hua inasaidia siku mkiachana hakuna anaejua[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Basi mfanye siri lakin awe anajali,,yaan nakuambia kuna wanaume wabinafsi hao,,lakin kuna wanaume huwahurumia wanawake
 
Hakupendi, anamtu mwingine ndiyo maana hataki mjulikane.
Pesa kwa mpenzi ni lazima hata km una pata kila kitu home, ni majibu wake kukuhudumia.
Mwenye nia na wewe atakusimulia mpk habari za watu usio wafahamu siku ukiwaona unasema tuu kumbe ni huyu.
Atakutambulisha kwa mama yake km wanapatana hata kwa simu tuuu.
 
idk ndio nn hapo cjaelewa afu ako kamwanaume kako kana tabia kama za wakwako hapo utaona mengi inshort wanaume wa sampuli hiyo hawajielew kama unampenda uwe mvumiliv unless otherwise atakua anakusumbua kichwa utakosa aman we muignore hizo tabia zake mtafika mbali
 
Unapatikanaga kwa machale sana....ila maneno yako hufunga mjadala..

Inasikitisha kwakweli kuona binti wa Chuo Kikuu tena mjanja wa hapa MMU....anashindwa solve ishu ka hii..
 
Muda unayotumia kunayoandika haya ungeutumia kuandika plan za kujenga kiwanda
 
Ukweli mchungu huu!
 
Huyo ni mume wa mwenzio, wewe upo tuu kama jokofu la kupoozea ndizi na machungwa yake mawili.
 
Unapatikanaga kwa machale sana....ila maneno yako hufunga mjadala..

Inasikitisha kwakweli kuona binti wa Chuo Kikuu tena mjanja wa hapa MMU....anashindwa solve ishu ka hii..
Nipo aisee.

Shukran, sometimes relationships huwa sio complicated ki hivyo basi tu wanashindwa kuchukua uamuzi mgumu.
 
Me mke Wang nilimpima miez sita tu. Na hakuwai kuniomba pesa sikupoteza mda nikaoa kabisa mwaka Wa 8 ndoan sasa
 
Huwa Nina kanuni moja the moment you start having second thoughts is the moment to end it!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…