Nyie mnaonaje kuhusu hili

Nyie mnaonaje kuhusu hili

Its hard to tell mana kuna mda naona ananipenda tu na hajaonesha dalili za kucheat...
But again maybe am blinded kwa kumpenda idk
Kinachofanya uone anakupenda ni kipi ebu tuanzie hapo
Pesa au vizawadi hatoi
Hataki muonekane km n lover's
Hakubembelezi
Mwenye visasi
Gubu
Dada hapo tena unataka uokote nyumba kariakoo au
 
Pole sana mapenzi ya siri mnamfichia nani ukiona hivyo ujue huyo ni mume wa mtu kiufupi huyo jamaa hakupendi ni ukweli unaouoma lakini ndio ukweli wenyewe ndio tatizo la kuwa kwenye mahusiana na wanaume mahb

Halaf usiseme hujawahi kumuona na dalili za kucheat achana na hivyo viumbe siku utakapojua ana mke na watoto sijui utakufwa
 
Hapana aisee, hana msaada wa kifedha wala kimawazo mahusiano gani hayo?

Nadhani kuna vitu vinahitaji maelezo zaidi kabla ya kumhukumu huyo jamaa, mfano "sio muongeaji" sasa najiuliza alimtongozaje bibie? au ndio mahusiano yalianza baada ya wahusika kukutana kwenye mazingira rafiki hivyo hakukuwa na haja ya kutongoza au ku-convince. Hilo la mchango wa mawazo huenda bibie huwa anachombeza sana jamaa anapozungumzia sex kuliko wakati jamaa akizungumzia vitu vingine hivyo jamaa anafunguka kikamilifu😀😀
 
Mambo zenu humu ndani,jamani yamenifika hapaaaa naomba ushauri wenu.
Huyu mwanaume wangu nimeanza kudate nae mwaka jana mwezi wa nne.
Katika kipindi hicho hadi sasa nimegundua yafuatayo:

[emoji117]aliniambia hapendi mtu yoyote ajue about us(am very okay with that mana hata mimi kwa kiasi fulani sipendi, ila sio kwamba ndo niweke nguvu zangu kwenye kufanya mahusiano haya yawe siri....ikitokea mtu akagundua sio kesi kwangu mimi)...ila ye kwa upande flani anakua kama hapendi(though hakasiriki)

[emoji117]anasema me wa kishua so hana haja ya kunipa msaada wa fedha..(kila siku hua namwambia me sio wa kishua but anajitoa ufahamu anang'ang'ania msimamo wake...hata hivyo sijawahi kumwomba hela hata siku moja...sijui anajihami idk)

[emoji117]idk but me namwona kama selfish...anaweza akalalamika shida me nkamsaidia but me nkiwa na shida simwoni hata kunifariji(anadai ye sio mwongeaji sana)...ni kweli ila sitaki kuamini mtu anashindwa hata kutoa maneno ya faraja kwa mpenzi wake et kisa sio mwongeaji

[emoji117]anadai hajui kubembeleza...so kama anataka ufanye kitu fulan akakataa anakuacha...sometimes kitu kinahitaji at least aniconvince but ndo hivo its like anasusa idk

[emoji117]hajawahi kuongelea about our future na akiongelea jua ni about sex tu

[emoji117]ana tabia ya visasi

Sometimes naona ananipenda but nkifikiria hivyo vitu nakua nadoubt idk maybe am just being paranoid

Sijawahi mwona ana dalili zozote za kucheat ila sina uhakika asilimia zote

Sitaki kumjudge vibaya so guys mawazo yenu ni muhimu than you can imagine.
wewe endelea kupanua miguu tuuu iko siku utakua mkubwa
 
Kwa uliyoeelezea hapo juu huyo mwanaume hakupendi, kwanini mtu yoyote asijue labda kama nyie ni wanafunzi otherwise ana mtu so anaogopa yasije mfikia.

Kuhusu hela sio mbaya san asipokupa ila kama mtu wako inapendeza siku moja moja akupe ingawa si lazima sana.

Upo kwake kwa ajili ya sex kwanini aongelee mambo ndoa, stuka.

Kwa kifupi hana mapenzi na wewe,jiongeze.
njoo inbox basi mimi nakoboa kiloho safi
 
Swali la msingi ANAKUKAZA VZR?hayo mengine mbwembwe tuu
 
Mambo zenu humu ndani,jamani yamenifika hapaaaa naomba ushauri wenu.
Huyu mwanaume wangu nimeanza kudate nae mwaka jana mwezi wa nne.
Katika kipindi hicho hadi sasa nimegundua yafuatayo:

[emoji117]aliniambia hapendi mtu yoyote ajue about us(am very okay with that mana hata mimi kwa kiasi fulani sipendi, ila sio kwamba ndo niweke nguvu zangu kwenye kufanya mahusiano haya yawe siri....ikitokea mtu akagundua sio kesi kwangu mimi)...ila ye kwa upande flani anakua kama hapendi(though hakasiriki)

[emoji117]anasema me wa kishua so hana haja ya kunipa msaada wa fedha..(kila siku hua namwambia me sio wa kishua but anajitoa ufahamu anang'ang'ania msimamo wake...hata hivyo sijawahi kumwomba hela hata siku moja...sijui anajihami idk)

[emoji117]idk but me namwona kama selfish...anaweza akalalamika shida me nkamsaidia but me nkiwa na shida simwoni hata kunifariji(anadai ye sio mwongeaji sana)...ni kweli ila sitaki kuamini mtu anashindwa hata kutoa maneno ya faraja kwa mpenzi wake et kisa sio mwongeaji

[emoji117]anadai hajui kubembeleza...so kama anataka ufanye kitu fulan akakataa anakuacha...sometimes kitu kinahitaji at least aniconvince but ndo hivo its like anasusa idk

[emoji117]hajawahi kuongelea about our future na akiongelea jua ni about sex tu

[emoji117]ana tabia ya visasi

Sometimes naona ananipenda but nkifikiria hivyo vitu nakua nadoubt idk maybe am just being paranoid

Sijawahi mwona ana dalili zozote za kucheat ila sina uhakika asilimia zote

Sitaki kumjudge vibaya so guys mawazo yenu ni muhimu than you can imagine.
Ndio wako huyo komaa naye mpaka kileleweke
 
Hapa anakuzingua tu aidha kama nyie ni wanafunzi tena secondary kushuka.

Nje ya hapo mapenzi ni kujivunia uliye naye kama mnafanya siri wewe ni mchepuko kama tunavyofanya sisi wenye wake hatutaki wake wetu wajue.

sipendi mwanamke aingize pesa kama kigezo cha kupendwa au kutokupendwa ila kwenye mahusiano yote nilikuwa natoa ila kwenye kuongea napinga hatari. Umenielewa.

ukiwa na mwanaume wewe ukaongoza kuwa msaada kwake kuliko kwako yeye basi jua unamhitaji zaidi ya anvyokuhitaji. Kiufupi kakushika au kwa lugha itakayokuuma unajipendekeza kwa misaada ili asikuache.

kweli kuna wasiojua kubembeleza ila wao hawajui kama hawajui kubembeleza kiasi cha kuulizwa kwanini hawabembelezi eti wajibu hawajui kubembeleza.

Huyu kijana kaa nae mbali kama unapenda kikojoleo chako atakitumia weee mwisho holaaa

inawezekana ni tabia tu maana kila mmoja na tabia zake.

yeye ana date for funny wewe umekamia niamini.

kucheat au kutokucheat sio jawabu la kumpenda mtu.

Umeshamjudge kikubwa kaa naye mweleze yote uliyoyandika hapa jibu atakalotoa litakupa go ahead ya nini ufanye.

Tunaishi ndani ya mapenzi mabovu kwasababu tunanun'gunika nafsini, mabaya tunayoyafikiria kuhusu wenza wetu hatuwaelezi tunayeleza wengine huku tukiishi kwa binyongo. Binadamu yeyote akiambiwa baya lake kama ni la kweli anachutama.
Aspokuelewa atakua n majibu yake binafsi
 
Back
Top Bottom