Nyie Utopolo mbwembwe nyingiii ila mtaanzia hatua za mwanzo huko

luangalila

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2014
Posts
6,346
Reaction score
6,928
Utopolo hawakwishi vituko na vimbwanga ...

Wanatambulisha wachezaji saa za usiku kama majizi, mara wametuletea akina Joyce ila bado wanapaswa kujua wanaanzia prelimimary stage huko kuna rivers UTD, Jowaning Galaxy, Plateau UTD watawababua mtafukuzana msimu huu
 
Mara watuletee wastaafu (Bigirimana)
Screenshot_20220712-102742.jpg
 
Endelea kuwashwa hivo hivo,Soo utakunwa na Azizi k vant
 
Yanga wanasajiri kila siku wachezaji aa kigeni. Hadi sasa wamewasajiri wachezaji 25 wa kigeni kwenye media.
Na bado wanaendelea kusajiri.

Sijui timu itakuwa na wachezaji hamsini msimu huu Sijui.
 
Utopolo hawakwishi vituko na vimbwanga ...

Wanatambulisha wachezaji saa za usiku kama majizi, mara wametuletea akina Joyce ila bado wanapaswa kujua wanaanzia prelimimary stage huko kuna rivers UTD, Jowaning Galaxy, Plateau UTD watawababua mtafukuzana msimu huu
🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮
 
lazima ukweli usemwe yanga usajairi wao ni mbovu

FXh-7yfXgAIUTBG.jpeg
 
Yanga wanasajiri kila siku wachezaji aa kigeni. Hadi sasa wamewasajiri wachezaji 25 wa kigeni kwenye media.
Na bado wanaendelea kusajiri.

Sijui timu itakuwa na wachezaji hamsini msimu huu Sijui.
Mbona sijui sijui nyingi sana kupita maelezo, unateseka ukiwa wapi kwanza, au we ni msemaji mkuu wa Yanga [emoji848][emoji16]
 
Natesekaje na usajiri wa wachezaji walioachwa na timu zao.
Wachezaji vikongwe watupu kijana ni Morrison mwenye miaka 29.
Waangalie usoni hao wengine utaona uchovu wa umri umetawala.
 
Vikongwe hao hao wamekutia mimba msimu mzima umeambulia patupu wenzio wamenyanyua makwapa mara 3, wewe mwenye vijana tuonyeshe kombe gani umebeba? Au utatuonyesha bonanza la mapinduzi? Mpaka akili ije iwakae sawa mtakuwa mnapelekewa moto kila msimu ili muwe na adabu na mjue wenzenu wanafanya usajili kwa kuangalia mahitaji ya nafasi husika na sio kukurupuka Kama nyumbu mtoni
 
Back
Top Bottom