luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Halafu wanatolewa mapema na kuanza kushabikia timu pinzani na Simba
๐ฎ๐ฎ๐ฎ๐ฎ๐ฎ๐ฎ๐ฎ๐ฎ๐ฎ๐ฎ๐ฎ๐ฎ๐ฎ๐ฎ๐ฎ๐ฎUtopolo hawakwishi vituko na vimbwanga ...
Wanatambulisha wachezaji saa za usiku kama majizi, mara wametuletea akina Joyce ila bado wanapaswa kujua wanaanzia prelimimary stage huko kuna rivers UTD, Jowaning Galaxy, Plateau UTD watawababua mtafukuzana msimu huu
Unaumia?Utopolo hawakwishi vituko na vimbwanga ...
Wanatambulisha wachezaji saa za usiku kama majizi, mara wametuletea akina Joyce ila bado wanapaswa kujua wanaanzia prelimimary stage huko kuna rivers UTD, Jowaning Galaxy, Plateau UTD watawababua mtafukuzana msimu huu
lazima ukweli usemwe yanga usajairi wao ni mbovuUtopolo hawakwishi vituko na vimbwanga ...
Wanatambulisha wachezaji saa za usiku kama majizi, mara wametuletea akina Joyce ila bado wanapaswa kujua wanaanzia prelimimary stage huko kuna rivers UTD, Jowaning Galaxy, Plateau UTD watawababua mtafukuzana msimu huu
Sio tu wameondoka Bure Bali wameachwa
Mbona sijui sijui nyingi sana kupita maelezo, unateseka ukiwa wapi kwanza, au we ni msemaji mkuu wa Yanga [emoji848][emoji16]Yanga wanasajiri kila siku wachezaji aa kigeni. Hadi sasa wamewasajiri wachezaji 25 wa kigeni kwenye media.
Na bado wanaendelea kusajiri.
Sijui timu itakuwa na wachezaji hamsini msimu huu Sijui.
Natesekaje na usajiri wa wachezaji walioachwa na timu zao.Mbona sijui sijui nyingi sana kupita maelezo, unateseka ukiwa wapi kwanza, au we ni msemaji mkuu wa Yanga [emoji848][emoji16]
Kwani si hata mwaka jana mlisema hivyo hivyo?
Vikongwe hao hao wamekutia mimba msimu mzima umeambulia patupu wenzio wamenyanyua makwapa mara 3, wewe mwenye vijana tuonyeshe kombe gani umebeba? Au utatuonyesha bonanza la mapinduzi? Mpaka akili ije iwakae sawa mtakuwa mnapelekewa moto kila msimu ili muwe na adabu na mjue wenzenu wanafanya usajili kwa kuangalia mahitaji ya nafasi husika na sio kukurupuka Kama nyumbu mtoniNatesekaje na usajiri wa wachezaji walioachwa na timu zao.
Wachezaji vikongwe watupu kijana ni Morrison mwenye miaka 29.
Waangalie usoni hao wengine utaona uchovu wa umri umetawala.