Nyie wa Dar hampo Leaders mpokee miamala ya miujiza ya huyu Nabii?

Uko unachek mana wako Live,ofcos kuna vituko
Imenibiddi niingie Dstv app ninaona hapa watu wanapokea mahela.

Je hizo msg zinasoma hela imetoka wapi?

Hebu freeze vid ya muamala kisha zoom tuone nani anatuma hizo hela?
 
😁😁😁😁 Wajinga ndio waliwao... Kipindi Fulani nilipita Zimbabwe, nikaambiwa alifukuzwa Zimbabwe na Mugabe, alifanya mkutano kama huu akagawa hizo miracle Money.. Akaitwa na Mugabe kipindi hicho anasuction uchumi uko down, akamwambia kama Mungu wako Kanagawa hela basi atujazie hela hazina.. Jamaa yakamshinda... Mugabe akamtimua😁😁😁Mi nachek a Sana hasa nikimwangalia Pastor kapola jinsi nilianza kumwamini.. Dah kumbe nae chama la wana wa miujiza hewa.... Dah Kapola umejiharibia Sana Brother... 😥😥
 
wallah hakuna mnyama katili kama binadamu,sasa huu si utapeli….huu mchezo wa kupoteza 10,000 ili upate 10Ml….

Unakumbuka yule jamaa wa kununua mahindi….kawakusanya wajinga kwa kununua mahindi kwa bei kubwa afu mwisho wa siku kawauzia na kuwapiga mzinga wa maana…

Apo hzo pesa zitarudi na faida kubwa….
 
Unajua kama mganga au wale magician wanaweza Kubadilisha karatasi kuwa note Hawa nao si wale wale? Shetani anaweza fanya maajabu.. Cha msingi tumsubirie kama hizo hela watazitoa na kutumia kama kawaida... Niko pale nasubiria shuhuda😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…