Nyie wa Dar hampo Leaders mpokee miamala ya miujiza ya huyu Nabii?

Unajua kama mganga au wale magician wanaweza Kubadilisha karatasi kuwa note Hawa nao si wale wale? Shetani anaweza fanya maajabu.. Cha msingi tumsubirie kama hizo hela watazitoa na kutumia kama kawaida... Niko pale nasubiria shuhuda😁😁
Hawa jamaa wana pesa sana mzee kutoa pesa halali hawashindwi,me hizi laki tano mara milioni wanazopokea watu via tigo pesa mara mpesa na wanaonesha kwny camera na muda wa kupokea,sasa sijui kuna kamati imeundwa ikasambazwa umo mkutanoni
 
Kwanini miamala isifanyike na kwanaofuatilia kwenye TV majumbani kama wanavyosema "Pokea uponyaji, miujiza unayefuatilia maombi haya kwenye television"?😆😆
 
Dola 200M si pesa za bajeti ya nchi kwa miaka 2 au mitatu😂😂😂
 
Bro, n kwamba huelewi au unajitoa akili.? Sasa jamaa kosa lake ni lipo wakati kasema kuwa kuna mama kapokea hy 200m usd ya miujiza sasa bado tuu unataka kuumiza kichwa kwenye vitu ambavyo ww mwnyw unaona kabisa haiwezekani.?
 
Mbona mimi nilianza kabisa kwa kusema huu utakuwa ni mzaha, hujasoma au hujui kusoma kwa ufahamu?
 
Rubish kabisaa
Watu mmeweka kijiwe hapa mnajadili habari zakufikirika....

Mods pigeni bani huu uzi na watu wake wote wanaoamini huu upuuzi kwa ukosefu wa afya ya akili,
Empty Set kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…