Swala la Dp World limewashinda mnaanza kua wambeya sasaKwenye harakati za kutumia remote control huku na huku nikaifikia channel ya Clouds nikakutana na tamasha huyu nabii huko viwanja vya leaders Club Dar.
Watu wanapokea miamala ya miujiza kwenye simu zao mmoja apa kapokea 43,000/= mmoja ndo kanikata asee yeye kapokea dola 200M etc
Anachosema huyu Nabii kwamba hizo pesa wanazopokea zimetokana na pesa zinapotea baharini, yeye anazitoa huko anawapa hawa waumini kama muamala, pesa zingine kashika anazigawa ovyo.
sasa utabishana nao wakati wenyewe wanathibisha kuwa wamepokea miamalaMeseji za kwenye miamala yako zinakupa option ya kureply?
Hatubishani tunajaribu tu kureason under mere common sensesasa utabishana nao wakati wenyewe wanathibisha kuwa wamepokea miamala
Mbaya zaidi huyu jamaa anakashfa za ufisadi kule Zimbabwe... Ila najua watu hawataelewa kwamba tunadili na wanamazingaobwe wasio na hofu ya kweli ya Mungu... Kama mtu hajaona Ile cover ya aljazira documentary aitafute Utube.. Hii hapa link ya kipengele kidogo tu, na episode ya kwanza.Tony kapola kajiharibia. Ninmchungaji kijana anayechipukia na tayari alishanza kuaminiwa na mamia ya watu. Lakini kwa tukio hili la leo la pesa za miujiza atabaki na watu wachache Sana hususan wale wenye uwezo mdogo sana wa kuchanganua mambo
[emoji1][emoji1]Pesa zinaingia kwny bible watu wakifungua biblia zao wanakutana na miamala tu kmmmk
Thats the goal, UVUVI.Halafu wanampa sadaka
sawa basi acha WAPIGWE.Hatubishani tunajaribu tu kureason under mere common sense
hayo sio mazingaombwe ni UPUMBAVU.Mbaya zaidi huyu jamaa anakashfa za ufisadi kule Zimbabwe... Ila najua watu hawataelewa kwamba tunadili na wanamazingaobwe wasio na hofu ya kweli ya Mungu... Kama mtu hajaona Ile cover ya aljazira documentary aitafute Utube.. Hii hapa link ya kipengele kidogo tu, na episode ya kwanza.na
Hebu toa location bana.Wajinga ndiyo waliwao, watu tupo na wageni wa Dubai saa hizi tunachoma kondoo, huko leaders wanakwenda mapoyoyo tu.
DP World wanaajiri wakati wote, pitia hapa: DP World CareersHebu toa location bana.
Hata kama tunaupinga mkataba, tusinyimane minuso walah😁
Tell Us more MkuuKapola ukimsikiliza kwa umakini in btn lines na kama nimsomaji Mzuri wa Neno na Roho mtakatifu yu ndani yako, utamshtukia faster..yule sio mtumishi wa Mungu bali motivational speaker tena wa ule upande mwingine direct kabisaa..ndi maana kuna topics hutamsikia anazigusa hata kwa bahati mbaya..
We huwajui watu wny imani zao,usingesema amepunguza wafuasiTony kapola kajiharibia. Ninmchungaji kijana anayechipukia na tayari alishanza kuaminiwa na mamia ya watu. Lakini kwa tukio hili la leo la pesa za miujiza atabaki na watu wachache Sana hususan wale wenye uwezo mdogo sana wa kuchanganua mambo
We jamaa sitak kucheka 😅🙌Pesa zinaingia kwny bible watu wakifungua biblia zao wanakutana na miamala tu kmmmk