Nyie wafuasi wa Tundu Lissu

Nyie wafuasi wa Tundu Lissu

Wanachopendea kwa Lissu ni ule uropokaji wake tu.

Ili mradi katika kuropoka huko anakuwa anawasema CCM au Mbowe, hata kama uongo, wao watameza kila kitu na kummwagia sifa tele.
Ukweli ndiyo maccm mnaita uropokaji, utapataje moral authority ya kukemea maovu ya CCM na serikali wakati unafumbia maovu yanayofanyika kwenye chama chako? Ukimsaka nyoka anza miguuni kwako.
 
Chama kukifanya bubu,butu na dhaifu kwa kuingia kwake makubaliano binafsi na ccm

Endelea kubeba box tu huko ulipo, madhila ya ccm tunayajua sisi na mbaya zaidi Mbowe anashirikiana nao kutuumiza.
IMG_6220.jpeg


Nipo Simiyu hapa napeleka ng’ombe mnadani.

Hapa Kidinda, Simiyu kila Jumanne huwa kuna mnada wa mifugo. Karibu.
 
Mabingwa wa kupiga kelele kwa kutumia keyboard. Matokeo yatakayotoka ndio mtajua expetation na reality ni mbingu na nchi.
Mwingine anayeenda kungukia pua ni Heche.
 
Bahati mbaya/nzuri tumepewa akili za kusahau na kukumbuka leo unahoji wananchi kuwa upande wa TL kesho pia utahoji kwa nini mmemrudisha FM.

Hii ndiyo huruka ya binadamu mf, kuna binti kule IG anaitwa Lydia kutoka BSS alionekana kapotea, gafla katoa 3in1 short clip song video leo kila mtu anamzungumzia na 'neno' kubwa ni "wakati wako ukifika, hakuna wa kukuzuia"

Ondoka na hiyo!.
 
Sisi sio wajinga. Tulitangaza kumpinga Mbowe kabla hata hajatangaza hadharani kugombea. Tunajua kwanini anataka sana uenyekiti wa chama awamu hii na tunajua kwanini Lissu aliamua kugombea. Usijekudhani kuwa kuna siku itatokea nimuunge mkono Mbowe akiwa mwenyekiti baada ya uchaguzi wa mwezi huu.
Sasa mbona mlikuwa mnatoa povu wakati ule watu wakisema Mbowe ni King'ang'anizi wa Madaraka na atafanya chochote kuhakikisha anabaki madarakani?! Kuweni wakweli. Jinamizi la Mbowe mmelilea wenyewe kwa kupenda kutetea hata mambo ya kijinga kwa sababu tu yanafanywa na viongozi wenu! Hapa Nyani Ngabu anawashutumu kumfanya Tundu Lissu kama Mungu Mtu wenu wakati miezi michache iliyopita na kurudi nyuma ni Mbowe ndie alikuwa kama Mungu Mtu hadi nikawa ninashangaa mna uhalali gani mnavyotusema tunaomtetea Mwamba JPM! Hata Msigwa mlikuwa mnamuona adui kwa sababu tu alikuwa anaongea machafu ya Mbowe, na kala sana matusi ya wafuasi wa CHADEMA lakini ghafla tu leo hii mnaongea lugha ile ile ya Msigwa!! Tena bora hata Msigwa ambae bull's eyes yake ilikuwa directly FAM's head lakini Tundu Lissu sio tu FAM bali hata Mfumo wa CHADEMA! Leo hii mnamshangilia as if kaingia CHADEMA juzi tu hapa kumbe yupo miaka mingi tu, na alifumbia macho huo uozo hadi sasa alipoamua kuutumia kutafutia Uenyekiti!! Zitto Kabwe na akina Mkumbo walivyojaribu kuu-challenge uongozi wa Mbowe wote mkamuita Msaliti, na akaoga tani kwa tani za matusi! Hivi kuna tofauti gani ya Mbowe yule na huyu wa sasa? Na dalili zinaonesha endapo FAM angesoma alama za nyakati mapema na kutangaza miezi kadhaa iliyopita kwamba asingegombea uenyekiti basi haya yanayosemwa sasa wala tusingeyasikia!
 
Kwa Lissu hamtopata kiongozi.

Mtapata mwanaharakati tu.

Drama hazitoisha.

But have at it coz I’m loving it 😀.
Mbona alikua mnadhimu mkuu bungeni, alikua rais wa TLS je uliona visa vyovyote hada akaonekana hafai? Tupunguze ujuaji hata Trump ulisema hamna analojua ila akachaguliwa kwa kishindo. So tuache sisi tunaomtaka tukiona hafai si uchaguzi ujao tutamng'oa.

Huyo Mbowe wako jana nmeangalia interview yake hakuna hata kitu kimoja amepanga kufanya
 
Wanachopendea kwa Lissu ni ule uropokaji wake tu.

Ili mradi katika kuropoka huko anakuwa anawasema CCM au Mbowe, hata kama uongo, wao watameza kila kitu na kummwagia sifa tele.
Unaupimaje uongo? Mbona JPM alikua anasema uongo mwingi na uropokaji kibao ila bado mnamuita mzalendo na rais bora katika historia. Meaning uropokaji hauna correlation na utendaji.

Mwabukusi mlisema hivyo hivyo kuwa ni mropokaji ila leo kawaprove wrong. So tuache ashike kiti naamini kuna mambo mengi sana atabadilika
 
Kama shujaa Magufuli mkemia na mwalimu aliweza Tundu Lisu Wakili Msomi atafanya vizuri zaidi

Uongozi ni karama 😂😂😂
Ingawaje JPM hakuwa Mwanasiasa lakini vile vile hakuwa Mwanaharakati!! Tofauti kubwa kati ya wanaharakati na mtu aina ya JPM ni uwezekano wa kutumika! Ingawaje simuoni Lissu kama ni mtu anayeweza kununulika lakini kuna uwezekano akishinda akajaza wanaharakati wenzake huku akipata msukumo wa wanaharakati wengine walio nje ya mfumo wa kisiasa! Tatizo ni ile mentality ya wanaharakati ya kutaka abrupt changes na kuona wengine wote hawapo sahihi isipokuwa wao tu hali ambayo inawafanya wawe rahisi sana kutumika!
 
Mbona alikua mnadhimu mkuu bungeni, alikua rais wa TLS je uliona visa vyovyote hada akaonekana hafai? Tupunguze ujuaji hata Trump ulisema hamna analojua ila akachaguliwa kwa kishindo. So tuache sisi tunaomtaka tukiona hafai si uchaguzi ujao tutamng'oa.

Huyo Mbowe wako jana nmeangalia interview yake hakuna hata kitu kimoja amepanga kufanya
Nimeangalia interview ya Mbowe.

I must say he acquitted himself very admirably.

He was cool, calm, and collected. Never called anyone outside of their name.
 
Hii vita ya wenyewe kwa wenyewe inayoendelea ndani ya CHADEMA mimi naifurahia saaana.

Naombea isiishe. Nataka iendelee ili tuyajue mauchafu yao….kutekana, kuumizana, kudanganya, kuzusha, na mauchafu chafu mengine ambayo wamekuwa wakiyaficha huku wakijifanya ni watu wema sana walio na maadili mema.

Sasa, nije kwa hawa wafuasi wa Tundu Lissu, hususan hawa wa humu JF.

You people are mindless bots in human form.

You are in your own little echo chamber. You just blindly conform while waxing lyrical about how great your Dear Leader is.

Tundu Lissu ni kichwa. Lissu hamung’unyi maneno. Lissu hakopeshi. Usiombe kujikuta uko upande tofauti na Lissu, n.k.

Really? Seriously? That’s what we’re doing now?

You swallow all his BS and are too quick to ridicule those of us who dare question what comes out of his mouth!

Where is your free thinking?

Mmejitengenezea cult of personality. Lissu ndo kawa mungu wenu. Chochote atachofanya na kusema, mtashangilia tu.

Kesho akisema hagombei tena uenyekiti wa chama, mtampongeza na kumuunga mkono atakayemuunga mkono yeye, hata ikiwa ni Freeman Mbowe.

You are so far up your own fundaments.

Disgusting 🤮.
Thread nyingine bana, wala sielewi huyu author wa hii thread anataka nini. Kuwaita watu ati wafuasi wa Tundu Lisu, wewe mfuasi wa nani?
 
Back
Top Bottom