Nyie wafuasi wa Tundu Lissu

Nyie wafuasi wa Tundu Lissu

Kwani wewe unatakaje sasa?
20250105_145739.jpg
 
Kwa Lissu hamtopata kiongozi.

Mtapata mwanaharakati tu.

Drama hazitoisha.

But have at it coz I’m loving it [emoji3].
Watanzania wengi wanaishi na kufikiri kwa mkumbo tu kama nyumbu. Siasa wanaichukulia Kama mchezo wa kombolela tu.
 
Hii vita ya wenyewe kwa wenyewe inayoendelea ndani ya CHADEMA mimi naifurahia saaana.

Naombea isiishe. Nataka iendelee ili tuyajue mauchafu yao….kutekana, kuumizana, kudanganya, kuzusha, na mauchafu chafu mengine ambayo wamekuwa wakiyaficha huku wakijifanya ni watu wema sana walio na maadili mema.

Sasa, nije kwa hawa wafuasi wa Tundu Lissu, hususan hawa wa humu JF.

You people are mindless bots in human form.

You are in your own little echo chamber. You just blindly conform while waxing lyrical about how great your Dear Leader is.

Tundu Lissu ni kichwa. Lissu hamung’unyi maneno. Lissu hakopeshi. Usiombe kujikuta uko upande tofauti na Lissu, n.k.

Really? Seriously? That’s what we’re doing now?

You swallow all his BS and are too quick to ridicule those of us who dare question what comes out of his mouth!

Where is your free thinking?

Mmejitengenezea cult of personality. Lissu ndo kawa mungu wenu. Chochote atachofanya na kusema, mtashangilia tu.

Kesho akisema hagombei tena uenyekiti wa chama, mtampongeza na kumuunga mkono atakayemuunga mkono yeye, hata ikiwa ni Freeman Mbowe.

You are so far up your own fundaments.

Disgusting 🤮.
Shida yako wewe ni ukabila na kumshabikia an evil man Magufuli na upumbavu wake kumuua Saanane.
Pamoja na chadema kugombana mwezi sasa hakuna mahali wamehusika na utekaji wala mauaji. Badala yake Magufuli anakuwa implicated moja kwa moja na mauaji na mateso ya Watanzania.

Wewe Nyani Ngabu ni collaborator wa mauaji hayo na Shida yako ni ukabila. Mtu miaka yote ya kukaa Marekani Bado ukabila umekujaa tu.

Wacha Lissu aje ndio mtaipata. Huyo Mbowe wenu hatoboi Safari hii
 
Mpaka uchaguzi wao uishe tutasikia mengi
 
Thread nyingine bana, wala sielewi huyu author wa hii thread anataka nini. Kuwaita watu ati wafuasi wa Tundu Lisu, wewe mfuasi wa nani?
Mtu kazi yake huko ughaibuni ni kusafisha vinyeo vya vizee vya kizungu utafikiri atakuwa na akili,akindika vi slang vyake vya kukariri anajiona yeye anajua kila kitu
 
With due respect....Lissu sio malaika..ila kwa kinachoendelea leo ni wazi Freeman ameharibu sana jitihada za wenzake...kawazunguka kwa kipindi kirefu..usisahau kuna watu walipoteza maisha...huu ni unyama mbaya sana...
Kama ilivyo kwa JPM ambae alipinga Covid-19 huku watu wakiangamia...
Ila hapo mwisho umechapia kidogo..ungepata kaelimu kidogo cha mass or herd immunity usingemtaja magu..alichokifanya magu ndio kinachokufanya leo unaongea hayo ya covid.
Dunia iliishiwa alternatives,na nchi chache zenye viongozi majasiri ndio waliifungua kwa nguvu,pamoja na casualties..wewe endelea kuamini wazungu kwa kilaa kitu...unganisha dots maisha yaendelee!
 
Hii vita ya wenyewe kwa wenyewe inayoendelea ndani ya CHADEMA mimi naifurahia saaana.

Naombea isiishe. Nataka iendelee ili tuyajue mauchafu yao….kutekana, kuumizana, kudanganya, kuzusha, na mauchafu chafu mengine ambayo wamekuwa wakiyaficha huku wakijifanya ni watu wema sana walio na maadili mema.

Sasa, nije kwa hawa wafuasi wa Tundu Lissu, hususan hawa wa humu JF.

You people are mindless bots in human form.

You are in your own little echo chamber. You just blindly conform while waxing lyrical about how great your Dear Leader is.

Tundu Lissu ni kichwa. Lissu hamung’unyi maneno. Lissu hakopeshi. Usiombe kujikuta uko upande tofauti na Lissu, n.k.

Really? Seriously? That’s what we’re doing now?

You swallow all his BS and are too quick to ridicule those of us who dare question what comes out of his mouth!

Where is your free thinking?

Mmejitengenezea cult of personality. Lissu ndo kawa mungu wenu. Chochote atachofanya na kusema, mtashangilia tu.

Kesho akisema hagombei tena uenyekiti wa chama, mtampongeza na kumuunga mkono atakayemuunga mkono yeye, hata ikiwa ni Freeman Mbowe.

You are so far up your own fundaments.

Disgusting 🤮.
🚮🚮🚮
 
Kaka Jerome a.k.a Nyani Ngabu Wafuasi wa Lissu, ukiwaskiza kwa Makini wanataka "mtu wa kuwaambia la kufanya" kwa kifupi "fujo" tofauti na Mbowe ambaye ni Charismatic na anaskiza na ndio maana alikwenda Ikulu kwa maridhiano.
Hawa watu ni mashabiki wa mtu na si chama na ni watu hatari sana.
Tangaanyika yetu hatuhitaji kutokutii Shria na Kanuni, hatuhiaji mvunjifu wa amani, awe Lissu, Mbowe ama yeyote yule.
 
Hii vita ya wenyewe kwa wenyewe inayoendelea ndani ya CHADEMA mimi naifurahia saaana.

Naombea isiishe. Nataka iendelee ili tuyajue mauchafu yao….kutekana, kuumizana, kudanganya, kuzusha, na mauchafu chafu mengine ambayo wamekuwa wakiyaficha huku wakijifanya ni watu wema sana walio na maadili mema.

Sasa, nije kwa hawa wafuasi wa Tundu Lissu, hususan hawa wa humu JF.

You people are mindless bots in human form.

You are in your own little echo chamber. You just blindly conform while waxing lyrical about how great your Dear Leader is.

Tundu Lissu ni kichwa. Lissu hamung’unyi maneno. Lissu hakopeshi. Usiombe kujikuta uko upande tofauti na Lissu, n.k.

Really? Seriously? That’s what we’re doing now?

You swallow all his BS and are too quick to ridicule those of us who dare question what comes out of his mouth!

Where is your free thinking?

Mmejitengenezea cult of personality. Lissu ndo kawa mungu wenu. Chochote atachofanya na kusema, mtashangilia tu.

Kesho akisema hagombei tena uenyekiti wa chama, mtampongeza na kumuunga mkono atakayemuunga mkono yeye, hata ikiwa ni Freeman Mbowe.

You are so far up your own fundaments.

Disgusting 🤮.
Shida nyingine ni kuwa wanadhani wako peke yao. Unawezaje kusema " no reforms, no elections" wakati kuna vyama zaidi ya 10 ambavyo viko eager kushiriki. Mwenyekiti Lissu atakaposusia uchaguzi, ACT-WAZALENDO wataziba pengo. Uchaguzi utafanyika, leader of the opposition atakuwa Zitto. CUF, NCCR na Chaumma wote watakuwa na wabunge na madiwani. CDM watabaki kulalamika Clubhouse.

Amandla...
 
Dunia hii Siasa ishakuwa utapeli tu.., from USA down to the last any other Country.., ni a bunch of self serving underperforming prima donnas...

Ingawa nakushangaa wewe unayefurahia haya mambo wakati maigizo haya ni pesa zako ndio zinatumika kuyafanikisha...

Lakini kabla ya yote inabidi hata tufahamu tunachotaka ni nini na Demokrasia kwetu sisi ni nini ? Sababu kama ni Kura na wapiga Kura wapo na sisi wanaotwambia huenda hata Kura hatupigi basi tatizo sio aliyepo (kama atachaguliwa) bali ni mfumo wa uchaguzi sio wa haki (Kama ni Haki basi tuache atakayechaguliwa na apate)

With due respect....Lissu sio malaika..ila kwa kinachoendelea leo ni wazi Freeman ameharibu sana jitihada za wenzake...kawazunguka kwa kipindi kirefu..usisahau kuna watu walipoteza maisha...huu ni unyama mbaya sana...
Kama ilivyo kwa JPM ambae alipinga Covid-19 huku watu wakiangamia...
Wakati hao watu wanapoteza maisha Lissu alikuwa wapi.
 
Mbowe ameweka wazi wajumbe wasimpo mpigia kura atarudi kupumzika. Ila hawezi tu ishia njiani kwa kelele za wahuni wachache ili chama kife kisha mje kumlaumu.

Anataka aondoke kwenye mapambano kwa utaratibu wa kidemokrasia. Ili hata chama kikifa msiseme alikiuza ndiyo maana akaacha.

Mtoeni kwenye sanduku la kura.
Sisi sio wajinga. Tulitangaza kumpinga Mbowe kabla hata hajatangaza hadharani kugombea. Tunajua kwanini anataka sana uenyekiti wa chama awamu hii na tunajua kwanini Lissu aliamua kugombea. Usijekudhani kuwa kuna siku itatokea nimuunge mkono Mbowe akiwa mwenyekiti baada ya uchaguzi wa mwezi huu.
 
Wanachopendea kwa Lissu ni ule uropokaji wake tu.

Ili mradi katika kuropoka huko anakuwa anawasema CCM au Mbowe, hata kama uongo, wao watameza kila kitu na kummwagia sifa tele.
Anayeona uongo akanushe. Sisi tupo tunasikiliza pande zote(Street court)
 
Hii vita ya wenyewe kwa wenyewe inayoendelea ndani ya CHADEMA mimi naifurahia saaana.

Naombea isiishe. Nataka iendelee ili tuyajue mauchafu yao….kutekana, kuumizana, kudanganya, kuzusha, na mauchafu chafu mengine ambayo wamekuwa wakiyaficha huku wakijifanya ni watu wema sana walio na maadili mema.

Sasa, nije kwa hawa wafuasi wa Tundu Lissu, hususan hawa wa humu JF.

You people are mindless bots in human form.

You are in your own little echo chamber. You just blindly conform while waxing lyrical about how great your Dear Leader is.

Tundu Lissu ni kichwa. Lissu hamung’unyi maneno. Lissu hakopeshi. Usiombe kujikuta uko upande tofauti na Lissu, n.k.

Really? Seriously? That’s what we’re doing now?

You swallow all his BS and are too quick to ridicule those of us who dare question what comes out of his mouth!

Where is your free thinking?

Mmejitengenezea cult of personality. Lissu ndo kawa mungu wenu. Chochote atachofanya na kusema, mtashangilia tu.

Kesho akisema hagombei tena uenyekiti wa chama, mtampongeza na kumuunga mkono atakayemuunga mkono yeye, hata ikiwa ni Freeman Mbowe.

You are so far up your own fundaments.

Disgusting 🤮.
Acha kupiga ramli Lissu ndio mwenyekiti mpya wa chama
 
Ts
Wafuasi wa Tundu Lissu ni kama wafuasi wa Pastor Mackenzie yule wa Kenya. Wanaamini kila uongo Lissu anaoutoa.

Pastor Mackenzie alikuwa ni mgonjwa wa akili kama alivyo Lissu, Mackenzie alizika watu wakiwa hai akiwaambia wanaenda kwa Yesu ni kama anavyofanya sasa Lissu anawadanganya wafuasi wake anaiua Chadema ili kupata upinzani mpya. Mwisho wa yote atawaacha kwenye mataa wakiwa wamepoteza walichokijenga kwa miaka mingi.
Takataka
 
Mbona alikua mnadhimu mkuu bungeni, alikua rais wa TLS je uliona visa vyovyote hada akaonekana hafai? Tupunguze ujuaji hata Trump ulisema hamna analojua ila akachaguliwa kwa kishindo. So tuache sisi tunaomtaka tukiona hafai si uchaguzi ujao tutamng'oa.

Huyo Mbowe wako jana nmeangalia interview yake hakuna hata kitu kimoja amepanga kufanya
Mbowe alichopanga ni kuhakikisha Lissu hawi Mwenyekiti na pia asiwe mgombea wa urais ili kumsaidia Samia October kwa ahadi ya kupewa majimbo 40 ya ubunge.
 
Back
Top Bottom