Nyie wafuasi wa Tundu Lissu

Nyie wafuasi wa Tundu Lissu

Ila hapo mwisho umechapia kidogo..ungepata kaelimu kidogo cha mass or herd immunity usingemtaja magu..alichokifanya magu ndio kinachokufanya leo unaongea hayo ya covid.
Dunia iliishiwa alternatives,na nchi chache zenye viongozi majasiri ndio waliifungua kwa nguvu,pamoja na casualties..wewe endelea kuamini wazungu kwa kilaa kitu...unganisha dots maisha yaendelee!
Wacha uwongo wewe mbumbumbu. Kama hufahamu pandemic zinavyokuja na kutoka kaa kimya acha kusifia UPUMBAVU wa Magufuli
 
Nadhani wako sawa mkuu, vita ya kumtoa sultan Ayatollah nkurunzinza Mbowe siyo ndogo, inahitaji kila spanana itumike, si umeona presha ilivyo mzee anatoa kila aina ya mlio. Hata TAL akifanikiwa kukalia hicho kiti na yeye akaanza kukengeuka atapigwa tu spana.
Unaye mwambia ni mwana ayatollah
 
Hii vita ya wenyewe kwa wenyewe inayoendelea ndani ya CHADEMA mimi naifurahia saaana.

Naombea isiishe. Nataka iendelee ili tuyajue mauchafu yao….kutekana, kuumizana, kudanganya, kuzusha, na mauchafu chafu mengine ambayo wamekuwa wakiyaficha huku wakijifanya ni watu wema sana walio na maadili mema.

Sasa, nije kwa hawa wafuasi wa Tundu Lissu, hususan hawa wa humu JF.

You people are mindless bots in human form.

You are in your own little echo chamber. You just blindly conform while waxing lyrical about how great your Dear Leader is.

Tundu Lissu ni kichwa. Lissu hamung’unyi maneno. Lissu hakopeshi. Usiombe kujikuta uko upande tofauti na Lissu, n.k.

Really? Seriously? That’s what we’re doing now?

You swallow all his BS and are too quick to ridicule those of us who dare question what comes out of his mouth!

Where is your free thinking?

Mmejitengenezea cult of personality. Lissu ndo kawa mungu wenu. Chochote atachofanya na kusema, mtashangilia tu.

Kesho akisema hagombei tena uenyekiti wa chama, mtampongeza na kumuunga mkono atakayemuunga mkono yeye, hata ikiwa ni Freeman Mbowe.

You are so far up your own fundaments.

Disgusting 🤮.
Tupo, tukusaidieje?
 
Hata kama lissu atakengeuka, mashabiki zake wamejiandaa kisaikolojia ikiwa ni pamoja na kushindwa kwenye kura
 
IMG_4861.jpeg
 
No reforms, no elections, sio kauli ya Lissu, ni kauli ya CHADEMA.
Acha upotoshaji.
Shida nyingine ni kuwa wanadhani wako peke yao. Unawezaje kusema " no reforms, no elections" wakati kuna vyama zaidi ya 10 ambavyo viko eager kushiriki. Mwenyekiti Lissu atakaposusia uchaguzi, ACT-WAZALENDO wataziba pengo. Uchaguzi utafanyika, leader of the opposition atakuwa Zitto. CUF, NCCR na Chaumma wote watakuwa na wabunge na madiwani. CDM watabaki kulalamika Clubhouse.

Amandla...
 
No reforms, no elections, sio kauli ya Lissu, ni kauli ya CHADEMA.
Acha upotoshaji.
Hata ikiwa ya Mbowe, ukweli unabaki pale pale. Chadema ikisusa kwa sababu hamna reforms, Act Wazalendo watakuwa chama kikuu cha upinzani Bungeni. Na hamna namna Chadema wanaweza kuzuia uchaguzi bila kushirikiana na wenzao ambao hawawaamini hata kidogo.

Amandla...
 
Hata ikiwa ya Mbowe, ukweli unabaki pale pale. Chadema ikisusa kwa sababu hamna reforms, Act Wazalendo watakuwa chama kikuu cha upinzani Bungeni. Na hamna namna Chadema wanaweza kuzuia uchaguzi bila kushirikiana na wenzao ambao hawawaamini hata kidogo.

Amandla...
Hayo mengine uliyoyaandika kuwa CDM wakisusia uchaguzi,vyama vingine vitashiriki na kuuhalalisha, ni kweli kabisa.

Nilichotaka kukusahihisha ni kuwa kauli ya No reforms no elections si kauli ya Lissu wala Mbowe, ni kauli ya CHADEMA.
 
Back
Top Bottom