Nyie wafuasi wa Tundu Lissu

Wacha uwongo wewe mbumbumbu. Kama hufahamu pandemic zinavyokuja na kutoka kaa kimya acha kusifia UPUMBAVU wa Magufuli
 
Unaye mwambia ni mwana ayatollah
 
Wanachopendea kwa Lissu ni ule uropokaji wake tu.

Ili mradi katika kuropoka huko anakuwa anawasema CCM au Mbowe, hata kama uongo, wao watameza kila kitu na kummwagia sifa tele.
LOL 🤣🤣🤣🤣
 
Tupo, tukusaidieje?
 
Hata kama lissu atakengeuka, mashabiki zake wamejiandaa kisaikolojia ikiwa ni pamoja na kushindwa kwenye kura
 
No reforms, no elections, sio kauli ya Lissu, ni kauli ya CHADEMA.
Acha upotoshaji.
 
No reforms, no elections, sio kauli ya Lissu, ni kauli ya CHADEMA.
Acha upotoshaji.
Hata ikiwa ya Mbowe, ukweli unabaki pale pale. Chadema ikisusa kwa sababu hamna reforms, Act Wazalendo watakuwa chama kikuu cha upinzani Bungeni. Na hamna namna Chadema wanaweza kuzuia uchaguzi bila kushirikiana na wenzao ambao hawawaamini hata kidogo.

Amandla...
 
Hayo mengine uliyoyaandika kuwa CDM wakisusia uchaguzi,vyama vingine vitashiriki na kuuhalalisha, ni kweli kabisa.

Nilichotaka kukusahihisha ni kuwa kauli ya No reforms no elections si kauli ya Lissu wala Mbowe, ni kauli ya CHADEMA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…