Nyie wafuatao... mtaacha lini... ili nawengine wapate izo nafasi!

loya kafulia, na kila siku anakuja home masaki kumuomba Bishanga pesa..... utajibebaa. na kuanzia kesho akija home hapati kitu, pesa zote anaanza kukaa nazo mama ..... maana baba kwakua anahuruma ndio maaana mna msumbu sana!

hujaona wa kuomba nini
utakua umemfananisha na si
mu huby nimjuae,hana dhiki ndogondogo tena ushindwe!!
 
ah ah ah! chezea Bishanga wewe.............. Ebu niache mtoto wa watu... nile happy za dunia... na upepo mwanana kutoka bahari ya hindi..



hujaona wa kuomba nini
utakua umemfananisha na si
mu huby nimjuae,hana dhiki ndogondogo tena ushindwe!!
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Baba V hivi ulitangaza nia kwa nani vile?
Tunafanya kila njia ndoa ziendelee kuimarika na kufungwa mpya wewe unataka kuvuruga!? ushindwe na ukome mara miamoja..
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…