Nyie wafuatao... mtaacha lini... ili nawengine wapate izo nafasi!


kwani tatizo nini watengane? wewe si unawako nyumbani?
angalia usitafute balaa lingine kama lile la mwenyekiti kulee.... si unajua mke wa mtu sumu, hatama kama una maziwa la kini sumu zingine hazikubali madhiwa...
Angalia utabigwa zongo.... unalijua zongo?
 
Pana kuhusu... na ninakuombea mabaya

hahahahah kisa na maana ni nini?

1. mimisa ulimshindwa......alikuwa well above your level
2 Paloma unammezea mate japo unajua ni mke wa mtu
3. Passion Lady naona naye ameingia mitini japo ulikuwa unamvizia vizia
4. Baba V ameapa kukufanyia 'kitu mbaya" yeye na wanyakyusa wenzake Bujibuji watu8 eli Boflo na wengineo kwa kumendea wake zao
5 amu umemshindwa...

sasa ukweli ndio huo usiwe kama CUF bana......
 
Last edited by a moderator:
kabanga na Kaizer nashukuruni sana kwa kumnasihi huyu ndugu manoah! anastahili ushauri kwa kweli! namaanisha ninachokisema mjue - ushauri!!!
 
Last edited by a moderator:
Kaizer..umesema yote
 
Last edited by a moderator:
nimekukumbuka sana mimisa.. leo jioni tunaweza kwemda pamoja tukabadilishane mawazo...........

Amesema anayahitaji mawazo yako!?? we kaa na mawazo yako bana ..., unataka mmbadilishane we uchukue mawazo ya kike ili iweje!?? isije ikawa unataka kuwa "mliberali" na consult baba yako soon...
 
Last edited by a moderator:

Hapo mwisho ulikuwa unamaanisha "uliberali" au !!??
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…