National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,177
- 56,121
Sawa kiumbe cha Mungu 😅😅😅Dogo acha umalaya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa kiumbe cha Mungu 😅😅😅Dogo acha umalaya.
🤣🤣🤣 Binadamu umehudhuria ibada kweli?Sawa kiumbe cha Mungu 😅😅😅
Hayo yote aliyoyasema ni kweli pale amani inapokosekana ndani ya nyumba yuko radhi kwenda kutafuta faraja njeKiukweli wanaume tubadilike. Tupunguze hizi tabia za kudate na wake watu ingawa nilichojifunza wanawake wengi wanaochapwa nje ya ndoa ni wale wanaolipa visasi baada ya kugundua mme wake ana mchepuko hili linaongoza, Pili kuna wale ambao wanatafuta mahitaji kutokana na waume zao kuwa na hali duni ya kiuchumi, Tatu kuna wale ambao wana hulka ya Umalaya na mme wake alimuoa akiwa na tabia hizo huenda alimkuta Club, danguro nk, Nne kuna wale ambao waume zao wameshindwa kuwatimizia haja zao za kihisia yaaani hawapelekewi moto ipasavyo kwahiyo huko nje wanatafuta faraja ya ngono hapa huenda mme ni mgonjwa, hana hisia za ngono, amesusia mke wake kwa ugomvi, Mume yuko mbali kikazi na mke wake. Kundi hili la nne mara nyingi huacha tabia hiyo mara tu mme wake anapoanza kutoa huduma stahiki na mara nyingi wanajiita MBA yaani married but available.
Anyway mke wa ntu ni sumu.
Pole mkuuMnawezaje aisee mimi huo ujasiri sina. Nisivyopenda kugongewa na mimi sipendi kumfanyia mwenzangu huo unyama.
Kwanza hamna hata huruma?
Sometime wanaume tunaangushana
🙂🙂 nilikuwa bench la kwanza kabisaa .. waendeleaje ewe kiumbe wa Mungu wa Mungu, muumba wa mbingu na dunia , na vitu vinavyo onekana na visivyokena.🤣🤣🤣 Binadamu umehudhuria ibada kweli?
God is really good.🙂🙂 nilikuwa bench la kwanza kabisaa .. waendeleaje ewe kiumbe wa Mungu wa Mungu, muumba wa mbingu na dunia , na vitu vinavyo onekana na visivyokena.
Amen. Baada ya ibada tuna kaa na familia tunasubiri pilau na nyama ya bata ... ila tumeanzia hapa karibu 😊😊😊God is really good.
sasa mkuu kwanini umteke mwezio?Siku hizi,kuna mke wa kutulia? Wenyewe ndo wanafataga hiyo mipini. Sasa jamani,kaja kaa mbele zako,mapaja wazi,kichupi kile pale,wakati mwingine hajakivaa,utafanyaje? Af sasa,kama mwanamke anakubali kugongwa huku anajua ameolewa,unadhani kapitiwa? Hapana,hiyo ndo itakuwa tabia yake. Kwa hiyo hata usipogongewa na wanaume wenzio(naongelea waliopo kwenye hilo janga mnaloliita ndoa),vijana watamshughulikia tu. Kikupwa tafuta nguvu ya kukubaliana na hiyo hali,kwamba ukijua umegongewa,samehe yapite au na wewe kagonge kwingine. Full stop. Vinginecyo utakufa kwa presha
Hapo hayo mahindi ndio yamenitoa udenda.Amen. Baada ya ibada tuna kaa na familia tunasubiri pilau na nyama ya bata ... ila tumeanzia hapa karibu 😊😊😊View attachment 2537841
🙂🙂🙂 tumemaliza tayari tunasubiri pilau na ugari badaeHapo hayo mahindi ndio yamenitoa udenda.
Toa mwongozo Kijana wa samia.Hayanaga muongozo...
Acha wakulane...Toa mwongozo Kijana wa samia.
Ata usipozisababisha ataliwa tu kataa ndoa.Wake za watu wanaliwa kwa sababu nyingi na nyingi wanaume ndio huzisababisha.
Kwa mfano, kunyimwa ngono kutokana na ulevi uliokithiri. Unakuta mtu anapenda pombe kuliko kitu chochote, hapo lazima tukusaidie. Kuna bwege mmoja nilikua nakula mke wake yeye alikua anatamka kabisa bora kuacha mke ila sio kuacha pombe. Mke akajiongeza akawa ananipa muda wote hadi nikampa mimba na jamaa ananilelea mtoto.
Wanawake ni viumbe wavumilivu sana, ikifikia hatua ameamua kugawa uchi ujue kavumilia sana. Kesi nyingi za wake za watu kuliwa hua zinasababishwa na wanaume.
Kuna mwingine nilikua nakula mke wake kwa sababu alikua hamhudumii chochote mke wake, hajali chochote basi nikawa najipigia navyojisikia. Jamaa hata kumla mke wake alikua anamaliza hata miezi 6 na akisafiri ndio hapigi simu wala meseji.
Wanaume tujirekebishe kwanza kabla ya kulalamika wanawake ama watu wanaowakula. Yule ni mtu mzima hajabakwa hivyo akiliwa katoa ridhaa mwenyewe, usitafte ubaya kwa mwanaume mwingine anza na mkeo.
Yan mtu mwenyewe akubali kukaza au kukwazwa ,dunia iharibike ? Mbona naona mito milima na mabonde ya kupendeza bado yapo.Dunia ishaharibika
Hata uspofanya wew ..utafanyiwa tu mkuu..hakuna unachoepuka au kupunguza...Upo kama Mimi, nisichopenda kufanyiwa siwezi mfanyia mwingine labda awe kanificha.
Una hofu ya Mungu pia.