Nyie 'wala wake za watu'

Nyie 'wala wake za watu'

Kiukweli wanaume tubadilike. Tupunguze hizi tabia za kudate na wake watu ingawa nilichojifunza wanawake wengi wanaochapwa nje ya ndoa ni wale wanaolipa visasi baada ya kugundua mme wake ana mchepuko hili linaongoza, Pili kuna wale ambao wanatafuta mahitaji kutokana na waume zao kuwa na hali duni ya kiuchumi, Tatu kuna wale ambao wana hulka ya Umalaya na mme wake alimuoa akiwa na tabia hizo huenda alimkuta Club, danguro nk, Nne kuna wale ambao waume zao wameshindwa kuwatimizia haja zao za kihisia yaaani hawapelekewi moto ipasavyo kwahiyo huko nje wanatafuta faraja ya ngono hapa huenda mme ni mgonjwa, hana hisia za ngono, amesusia mke wake kwa ugomvi, Mume yuko mbali kikazi na mke wake. Kundi hili la nne mara nyingi huacha tabia hiyo mara tu mme wake anapoanza kutoa huduma stahiki na mara nyingi wanajiita MBA yaani married but available.
Anyway mke wa ntu ni sumu.
Hayo yote aliyoyasema ni kweli pale amani inapokosekana ndani ya nyumba yuko radhi kwenda kutafuta faraja nje
 
Tatizo waliolewa walikutana na ex wake anamwambia wakumbushane ya zamani, mwanaume anatekwa tu kama Adam alivyotekwa na Eva.
 
God is really good.
Amen. Baada ya ibada tuna kaa na familia tunasubiri pilau na nyama ya bata ... ila tumeanzia hapa karibu 😊😊😊
Screenshot_20230305_113359_Gallery.jpg
 
Siku hizi,kuna mke wa kutulia? Wenyewe ndo wanafataga hiyo mipini. Sasa jamani,kaja kaa mbele zako,mapaja wazi,kichupi kile pale,wakati mwingine hajakivaa,utafanyaje? Af sasa,kama mwanamke anakubali kugongwa huku anajua ameolewa,unadhani kapitiwa? Hapana,hiyo ndo itakuwa tabia yake. Kwa hiyo hata usipogongewa na wanaume wenzio(naongelea waliopo kwenye hilo janga mnaloliita ndoa),vijana watamshughulikia tu. Kikupwa tafuta nguvu ya kukubaliana na hiyo hali,kwamba ukijua umegongewa,samehe yapite au na wewe kagonge kwingine. Full stop. Vinginecyo utakufa kwa presha
sasa mkuu kwanini umteke mwezio?
in the name of ndoa
unataka kumteka asiende kuliwa anapotaka kwenda,
simple tu mzee yanin kuweka kauzibe, amechoka nawewe aende zake .

KATAA NDOA MKUU
 
Wake za watu wanaliwa kwa sababu nyingi na nyingi wanaume ndio huzisababisha.

Kwa mfano, kunyimwa ngono kutokana na ulevi uliokithiri. Unakuta mtu anapenda pombe kuliko kitu chochote, hapo lazima tukusaidie. Kuna bwege mmoja nilikua nakula mke wake yeye alikua anatamka kabisa bora kuacha mke ila sio kuacha pombe. Mke akajiongeza akawa ananipa muda wote hadi nikampa mimba na jamaa ananilelea mtoto.

Wanawake ni viumbe wavumilivu sana, ikifikia hatua ameamua kugawa uchi ujue kavumilia sana. Kesi nyingi za wake za watu kuliwa hua zinasababishwa na wanaume.

Kuna mwingine nilikua nakula mke wake kwa sababu alikua hamhudumii chochote mke wake, hajali chochote basi nikawa najipigia navyojisikia. Jamaa hata kumla mke wake alikua anamaliza hata miezi 6 na akisafiri ndio hapigi simu wala meseji.

Wanaume tujirekebishe kwanza kabla ya kulalamika wanawake ama watu wanaowakula. Yule ni mtu mzima hajabakwa hivyo akiliwa katoa ridhaa mwenyewe, usitafte ubaya kwa mwanaume mwingine anza na mkeo.
Ata usipozisababisha ataliwa tu kataa ndoa.
 
Wewe ogopa kuwamega wake za watu ukidhani uaminifu wako utafanya mkeo asimegwe... Hakuna mke wa mtu asiyetrombwa nje ya ndoa... Mimi kiukweli siogopi kuwamega halafu ni watamu hawana mambo mengi... Mke wangu aliwe asiliwe atajua mwenyew mimi aniheshim na afanye kwa siri... Narudia tena hakuna mke wa mtu asiyetrombwa nje ya ndoa HAKUNA
 
Back
Top Bottom