Kuna mkoa nilienda nikaunganishwa na pisi moja ya moto Sana, baada ya makubaliano ikasema twende kwake. Nikaingiza miss kidogo, Ila baadae Yule aliyeniunganisha nae akanihakikishia usalama, coz nilikuwa namuamini kutokana tunafanya kazi taasisi moja nikakubali. Kutoka nje pisi imepaki matako ya nyani tukazama kwake AISEEE nilichokikuta ni hatari Sana.Hongera, sababu haya mambo wanaelewa wachache tu.
😂😂😂 sasa kisa cha kunitoa akili ni nini?Ila huyu Depal hana akili (joking...) hv unajua mwalimu anaemiliki gari na hajafikisha 40 years ni hazina? Kazi zao hizo lkn bado kajikakamua kuwa na subaru forester huoni kama ni hazina na ako na promising future? Wachakalikaji tu ndo tutaelewa
No second chance to make the first impression . Kama Ticha bado anashobo na WEWE rudi haraka ukajenge naye karibu na akiwa na upendo hataomba tunda ili atafuata mchakato wote mpaka ndoa, anakupenda na Wewe atakuambukiza upendo. USIPOTEZE HIYO SELF GOLDEN CHANCE😂😂😂 sasa kisa cha kunitoa akili ni nini?
Kama nafsi imekuwa nzito nijilazimishie kisa nini?
Utakuwa zombi mda si mrefu 🤣Umenisanua mkuu, sikufikiria kabisa hilo
sasa si ndiyo iliyosababisha moyo wangu usihamasike juu yakeNo, umesema umemuacha kisa chaki chaki sio moyo kuwa mzito
Shindwaaaaa shetaniAcha abaki kuwa mama ntilie for the rest of her life
🤣🤣🤣🤣 unasemaje Raraa?Hamna mwanamke akileta jeuri jua mizigo ipo
Nilimblock 😔😔No second chance to make the first impression . Kama Ticha bado anashobo na WEWE rudi haraka ukajenge naye karibu na akiwa na upendo hataomba tunda ili atafuata mchakato wote mpaka ndoa, anakupenda na Wewe atakuambukiza upendo. USIPOTEZE HIYO SELF GOLDEN CHANCE
M- Unblock na urudi bhana inawezekana wewe ndio una ubavu wakeNilimblock 😔😔
Na ndo maana laki 5 ikakataliwa, amtapike huyo jogoo kama anaweza🤣Jogoo uliechinjiwa katoka kwa mganga ni wa dawa.
😂😂 mwamba asubiri tu dawa iingie vizuriNa ndo maana laki 5 ikakataliwa, amtapike huyo jogoo kama anaweza🤣
😂😂 mrudie mwalimu au hutaki u first lady?Shindwaaaaa shetani
Mwamba kaumaliza mwendo kizembe sana🤣😂😂 mwamba asubiri tu dawa iingie vizuri
Ukiona mwanamke analeta jeuri jua salio linasoma 😄🤣🤣🤣🤣 unasemaje Raraa?
Si umeyataka mwenyeweUsiseme hivyo
Nachukia majuto
🥲