Peril22
JF-Expert Member
- Apr 15, 2020
- 1,710
- 2,951
Kuna mkoa nilienda nikaunganishwa na pisi moja ya moto Sana, baada ya makubaliano ikasema twende kwake. Nikaingiza miss kidogo, Ila baadae Yule aliyeniunganisha nae akanihakikishia usalama, coz nilikuwa namuamini kutokana tunafanya kazi taasisi moja nikakubali. Kutoka nje pisi imepaki matako ya nyani tukazama kwake AISEEE nilichokikuta ni hatari Sana.Hongera, sababu haya mambo wanaelewa wachache tu.