Nyie wanawake mnaoringa sasa hivi niko pale nawasubiri mkigusa 30s

Nyie wanawake mnaoringa sasa hivi niko pale nawasubiri mkigusa 30s

Hongera, sababu haya mambo wanaelewa wachache tu.
Kuna mkoa nilienda nikaunganishwa na pisi moja ya moto Sana, baada ya makubaliano ikasema twende kwake. Nikaingiza miss kidogo, Ila baadae Yule aliyeniunganisha nae akanihakikishia usalama, coz nilikuwa namuamini kutokana tunafanya kazi taasisi moja nikakubali. Kutoka nje pisi imepaki matako ya nyani tukazama kwake AISEEE nilichokikuta ni hatari Sana.
 
Ila huyu Depal hana akili (joking...) hv unajua mwalimu anaemiliki gari na hajafikisha 40 years ni hazina? Kazi zao hizo lkn bado kajikakamua kuwa na subaru forester huoni kama ni hazina na ako na promising future? Wachakalikaji tu ndo tutaelewa
😂😂😂 sasa kisa cha kunitoa akili ni nini?
Kama nafsi imekuwa nzito nijilazimishie kisa nini?
 
😂😂😂 sasa kisa cha kunitoa akili ni nini?
Kama nafsi imekuwa nzito nijilazimishie kisa nini?
No second chance to make the first impression . Kama Ticha bado anashobo na WEWE rudi haraka ukajenge naye karibu na akiwa na upendo hataomba tunda ili atafuata mchakato wote mpaka ndoa, anakupenda na Wewe atakuambukiza upendo. USIPOTEZE HIYO SELF GOLDEN CHANCE
 
Back
Top Bottom