Nyie wanawake mnaoringa sasa hivi niko pale nawasubiri mkigusa 30s

Nyie wanawake mnaoringa sasa hivi niko pale nawasubiri mkigusa 30s

Hiyo ni kawaida sana na inaeleweka Mwanaume mara nyingi hutangulia kurudi alikotoka, na hakuna ambaye atadumu milele, Give him a self golden chance, huo muonekano ni jukumu lako kumbadirisha tu awe jinsi vile unavyotaka, na atakusikiliza kwa sababu anakupenda
😂😂😂 sawa
 
Tunashukuru Bado tupo kwenye maombi na sio kilamwanamke anapenda mwanaume Alie na kilakitu lakini kuomba upatemtu sahihi ndo kitu Cha maana,nyumba ambayo Haina amani haiwez kuwa na mafanikio Tunaomba tupate waume wataotupenda na kutupa amani inshallah wakija sidhani km kutakuwa na kikwazo
Haya maneno mnasemaga tu.

Miaka ya nyuma kiasi ndo nmetoka chuo nikarudi kwetu kusikilizia kazi, pale kulikua na kadem nakakubali kinoma ndo kalikua kanamalizia six kaende chuo. Yule mdada nilikua nampenda balaa na sijawah kupenda vile aisee. Dem alipoenda first year tu akawa mbogo, kidume nipo naangalia tu biashara za mzee malipo ni wali maharage wa jion na ugali dagaa wa mchana.

Nikaja kupata chance ya internship dsm nikawa naenda kukachk pale mlimani ila kananipotezea balaa, second year akapigwa mimba na rafiki wa kakaake nikaja kujua ndo alikua anakapa kiburi. Sasa hv ni counter kwenye bar fln hv hapa mjini ana watoto watatu kila mtoto baba yake.

Mabinti wachache sana wanajua maana ya true love na wachache zaidi wanajua namna ya kuspot true love, japo wanaume wengi bado wako tyr kutoa true love sema wanakua discouraged
 
500k kwa ajili ya papuchi sio?

Niiteni tu maskini kudadadeki zenu
No mzee. Na kama hujui hayo ndo matumizi mazuri ya pesa.

Nalipia 200k to 500k lkn najua nakula kitu quality, magonjwa hamna, najiachia narelax kabisa.
Sasa wewe kachukue dem wa riverside kwanza una hofu asbh unaweza kuta kaiba hadi sufuria zako
 
Haya maneno mnasemaga tu.

Miaka ya nyuma kiasi ndo nmetoka chuo nikarudi kwetu kusikilizia kazi, pale kulikua na kadem nakakubali kinoma ndo kalikua kanamalizia six kaende chuo. Yule mdada nilikua nampenda balaa na sijawah kupenda vile aisee. Dem alipoenda first year tu akawa mbogo, kidume nipo naangalia tu biashara za mzee malipo ni wali maharage wa jion na ugali dagaa wa mchana.

Nikaja kupata chance ya internship dsm nikawa naenda kukachk pale mlimani ila kananipotezea balaa, second year akapigwa mimba na rafiki wa kakaake nikaja kujua ndo alikua anakapa kiburi. Sasa hv ni counter kwenye bar fln hv hapa mjini ana watoto watatu kila mtoto baba yake.

Mabinti wachache sana wanajua maana ya true love na wachache zaidi wanajua namna ya kuspot true love, japo wanaume wengi bado wako tyr kutoa true love sema wanakua discouraged
Ila wanaume mnateseka sana na mapenz😀 ndoa ni Kila mtu alivopangiwa na alivopanga na sio kilamwanaume akitak kukuoa bas sahihi Kuna ambao unaona kabisa bond haipo Yan ni mafuta na maji Bora uendelee kusubiri tu kuliko kuingia kwenye maisha usiyotarajia
Kipato sio shida ila je ana vision kunawanaume wanaoa wanaishi kwao mk anakula Kwa wazaze wake ni Bora tu anamke, asiwe na Hela sawa lkn bas hata kavision unaona kbisa hapa tunavumilia lkn tutatoboa
 
Back
Top Bottom