Nyie wanawake mnaoringa sasa hivi niko pale nawasubiri mkigusa 30s

Nyie wanawake mnaoringa sasa hivi niko pale nawasubiri mkigusa 30s

mwanamke akiwa kwenye umri wa 30s Teslarati anakuwaje mkuu? mbona rika hilo bado ni rika la kijana.
Ahahaha kuna huyo ana 23 nimemla mla nikamwacha anapenda mabishoo mashombe shombe juz kamfumania bishoo wake kariakoo anakula kisamvu cha mwanaume mwingine karud kutubu anatubu mpaka aanatubu tena alafu me sina habari... Anyways wa miaka 23 anaogopa wa 30 itakuwaje?... Mwanamke wangu wa Morogoro wa early thirties nimempiga chini sababu alidhan cheo na master ndio mborow saivi anashindwa hata cha kusema najua atakuja kutubu... Kauli mbiu yangu, kama kosa sio langu siwez ku apologize kamwe, hata Mungu hapendi... Miaka 30 kwa mwanamke ni maji ya jioni...
 
Ila wanaume mnateseka sana na mapenz😀 ndoa ni Kila mtu alivopangiwa na alivopanga na sio kilamwanaume akitak kukuoa bas sahihi Kuna ambao unaona kabisa bond haipo Yan ni mafuta na maji Bora uendelee kusubiri tu kuliko kuingia kwenye maisha usiyotarajia
Kipato sio shida ila je ana vision kunawanaume wanaoa wanaishi kwao mk anakula Kwa wazaze wake ni Bora tu anamke, asiwe na Hela sawa lkn bas hata kavision unaona kbisa hapa tunavumilia lkn tutatoboa
Na ndo maana kama umesoma paragraph yangu ya mwisho nimesema wanawake wengi hawajui maana ya true love, wachache (less than 10%) wanajua kuspot true love inapotokea, wengine utawafanyia mazuri balaa ila hawatoona nia yako njema.

Na wazee wa zamani kwa kujua huo udhaifu wa wanawake ndio maana walikua wanamchagulia binti mtu wa kumuoa. Sababu kwa akili za wanawake ni ngumu sana kuspot hata hio vision unayoongelea, wengi mnataka masharobaro tu.

Hujiulizi kwa nn ndo za kiarabu zinadumu japo mwanaume tu ndo anaenda kujichukulie mke hata kama binti hajawah kumuona?
 
😂
Sipendi lawama.. na amenilaumu
So it can’t be that sweet as u wish

Jana aliniona… nashangaa text umependeza. Nikauliza we nani
Ndo akanijibi hayo mauza uza 😂
Nikamuacha hapo
View attachment 2556768
Unamwelewesha tu kwani kuna ubaya? na yeye ni Binadamu anakuwa na hisia za kuvuugika, nenda naye sawa, nimeipenda hiyo . Mimi ni Harmonizer nitakupa zawadi uki sort mambo vizuri. Mungu atakubariki sana na ndoa yenu itakuwa ya Mafanikio na baraka nyingi mnooo
 
Aaliyyah hivi tukiambiwa kila mtu amkimbilie anayempenda itakuwaje humu duniani 😂😂😂
Watu si tutabaki kukimbizana
Yani Kila mtu anamkimbilia wake na wake anamkimbilia mwingine na mwingine nae mwingine Cha ajbu hata waliooa hawatawakimbia wakezao 😂😂😂 ni kukimbizana mwanzo mwisho. 😂😂😂
 
Back
Top Bottom