toughlendon_1
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 6,283
- 11,253
Ahahaha kuna huyo ana 23 nimemla mla nikamwacha anapenda mabishoo mashombe shombe juz kamfumania bishoo wake kariakoo anakula kisamvu cha mwanaume mwingine karud kutubu anatubu mpaka aanatubu tena alafu me sina habari... Anyways wa miaka 23 anaogopa wa 30 itakuwaje?... Mwanamke wangu wa Morogoro wa early thirties nimempiga chini sababu alidhan cheo na master ndio mborow saivi anashindwa hata cha kusema najua atakuja kutubu... Kauli mbiu yangu, kama kosa sio langu siwez ku apologize kamwe, hata Mungu hapendi... Miaka 30 kwa mwanamke ni maji ya jioni...mwanamke akiwa kwenye umri wa 30s Teslarati anakuwaje mkuu? mbona rika hilo bado ni rika la kijana.