toughlendon_1
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 6,283
- 11,253
Alafu kitu kingine mkuu Marriage kwangu sio ishue kabisaaa yan wala hainishtui....kwahiyo mkuu toughlendon_1 unasema mwanamke akishafika umri wa miaka 30 bila ndoa anakosa furaha? huyo wa 23 unahisi nini zaidi kilichomuogopesha hadi akatubu na kutubu? sababu umri wake bado ni mdogo hata 25 hajafikisha.
Check apa ni shida tunalishwa mauchafu sanaUmenisanua mkuu, sikufikiria kabisa hilo
Chuz la chupi😆😆Check apa ni shida tunalishwa mauchafu sana
View attachment 2557192
Mungu wanguCheck apa ni shida tunalishwa mauchafu sana
View attachment 2557192
Bahati nzuri niko kwenye Ndoa ya furaha mwaka wa 16Ndo mnavyojifarijigi hivi daaah aseee nimekaa 👉. 😶😶😶😶
Niko kwenye Ndoa ya Furaha mwaka wa 16 sipendi kuona mnawabully wanawakeMan/Woman decides his own fate.
Mambo ya kuishi scripted life wanaamini wavivu wa kufikiri.
Endeleeni kusubiri ndoa mlizonadikiwa huku mnakataa zinazowaijia mapema usichanani
Mwana kashakamatika🤣🤣🤣🤣Jogoo uliechinjiwa katoka kwa mganga ni wa dawa.
Aiseee kumbe ndio ilivyo.Niko kwenye Ndoa ya Furaha mwaka wa 16 sipendi kuona mnawabully wanawake
Wanawake wangap wanaolewa in 45 years
Umri na Ndoa ni mambo mawili tofauti..na Ndoa sio jambo la kukurupukia ata kama ni Binti kila Bint mwenye kujitambua ana goals zake na vision zake
Usigeneralize kama ulikutana na Wanawake Vilaza wanaokulilia uwaoe ni wao..kuna wanawake they have their own standards and Priotization
Kizazi chenye tamaa ya hela kina zungumzia kujitunza.Kuhusu habari ya bikira wala msiongee sababu wanaume hamtaki kujitunza mnataka wanawake tu ndio wajitunze, halafu ninyi mkiambiwa basi muache kuwatongoza ili wajitunze mnasingizia eti wao ndio wenye maamuzi ya kukataa na blah blah kibao, chagueni moja jinsia zote mjitunze ili muoane mabikira au muendelee kuchezea wasichana na mwisho mje muwaoe hao hao maana msitegemee mtaumbiwa wengine asee
Sent from my S6 using JamiiForums mobile app
kivipi tunapungua mkuu mzabzab ?Wee waache tuu maana wanaume wenyewe tunazidi pungua.
😀😀No mzee. Na kama hujui hayo ndo matumizi mazuri ya pesa.
Nalipia 200k to 500k lkn najua nakula kitu quality, magonjwa hamna, najiachia narelax kabisa.
Sasa wewe kachukue dem wa riverside kwanza una hofu asbh unaweza kuta kaiba hadi sufuria zako
Wengine sii wameamua kuliwa takokivipi tunapungua mkuu mzabzab ?
Yaani kitombaner unaita michezo ya hovyo kweli? Dah nyie watu mbona mnaitukana burudani lendwa hapa dunianiMtoa mada unakosea kwanza angalia na situation ya wanwake ulikutana nao no wale michepuko inawezekana washapita na majaaa kibao zaidi yako wewe.
Mwanamke hata awe 30's possibility ya kuolewa ipo kubwa kwa hali moja tu kama hajatumika sana yaani kajitunza ..wapo wameolewa miaka 30 Tena kwa kugombaniwa wakachagua waolewe na nn ni wale waliojitunza lakini kama ni wale washaziniwa sana mpaka stories zimesambaa mitaani au wamezalishwa ndo Wana wakati mgumu..
Mwanamke hawezi kuchakaa kwa umri anachakaa kwa kutumika ..Jaalia akiwa early 20 alianza kutumika mpaka alifika 30 hana ndoa anakuwa kashachakaa ..Wapo wanawake wanajielewa wako 30 ila bado ni vijana na wanaolewa sio hao Mali za umma kama wako.
Kikubwa asitumike ila ni nadra sana kwa vile wa sasa miaka 17 kashaanza michezo ya ovyo
Mwanaume akiwa na hela hatongozi, wanawake wachache mno ambao hawazidi 30% ndio wana uwezo wa kumkazia mwanaume mwenye hela na kila siku asilimia yao inazidi kupungua.Acheni kuwadanganya na hizo hela, hakuna mwanamke atakuomba hela from nowhere bila wewe kuonesha interest kwake, nasema hivi acheni kwanza kuwachezea hao wanawake ndio mje mdai hizo bikira fullstop
Kala dawa kiulaini kabisa 🤣Mwana kashakamatika🤣🤣🤣🤣
😂😂😂Yaani kitombaner unaita michezo ya hovyo kweli? Dah nyie watu mbona mnaitukana burudani lendwa hapa duniani
Usitake kujustify point yako kwa uongo, 16 years in marriage usingeandika hvo. Na kama ni kweli basi usiendelee kuwadanganya wenzako wakati ww tyr ushaolewaNiko kwenye Ndoa ya Furaha mwaka wa 16 sipendi kuona mnawabully wanawake
Wanawake wangap wanaolewa in 45 years
Umri na Ndoa ni mambo mawili tofauti..na Ndoa sio jambo la kukurupukia ata kama ni Binti kila Bint mwenye kujitambua ana goals zake na vision zake
Usigeneralize kama ulikutana na Wanawake Vilaza wanaokulilia uwaoe ni wao..kuna wanawake they have their own standards and Priotization