toughlendon_1
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 6,283
- 11,253
Alafu kitu kingine mkuu Marriage kwangu sio ishue kabisaaa yan wala hainishtui....kwahiyo mkuu toughlendon_1 unasema mwanamke akishafika umri wa miaka 30 bila ndoa anakosa furaha? huyo wa 23 unahisi nini zaidi kilichomuogopesha hadi akatubu na kutubu? sababu umri wake bado ni mdogo hata 25 hajafikisha.