Nyie wanawake mnaoringa sasa hivi niko pale nawasubiri mkigusa 30s

Hamnaaaa [emoji35]
Mbona sisi tunaowapenda wala hawatupendi [emoji1787]
Acha kila mtu atesekee upande wake
Tokea lini mwanamke akapenda? Mwanamke nje ya hisia zake za awali huwa anakuwa na tamaa ya vitu anavyohodhi mwanaume.

Yaani ipo hivi, mwanamke akiona mwanaume ana vitu ambavyo yeye mwanamke anaviona ndivyo vitampa maisha mazuri na ya starehe then hapo huwa anajitiisha na kujiweka kama mahala salama. Halafu ndipo huwa mnasema nimependa. Hapana haujapenda umetamani.

Njia ya asili ni mwanaume yeye anavutiwa na wewe then anaanza kukuteka kwa kuchukua mahitaji yako muhimu na kugeuza kuwa majukumu yake ili wewe upate nafuu ya kuishi na kuanza kutii amri yake kisha baada ya hapo unaingia katika maisha yake na kuanza kupanga nae maisha period.
 
Umri aint nothing in a Mariage purpose..Binadam wote tumeumbwa in Pairs hao wanawake ata wakifika 45 years kama wameandikiwa Ndoa wataolewa tu..its matter of Qadar kama uliandikiwa Ndoa utaipata..!!!
Miaka 45 unaingia Kwenye ndoa na mwanaume wa aina gani huyo and the worst part is mnakwenda kufanya nini sasa huko kwenye ndoa at that late moment ya maisha?!
 
Hahahahahah point ni ile ile,,, njaa ndo zinawapeleka kibla kwa watu ambao hata sio sahihi.
 
Mexicans tena 😀😀😀
Umesahau tu kiungo cha tangawizi, kwamba mwanamke hataki 500k? Kwa ajili ya kuwa mke halali, kwa hiyo hawezi ichukua na kuwa mke halali? Tafuteni hela vijana achaneni na kuangalia tamthiliya za mexicans ambao wote sauti zao zaonyesha ni mashoga.
 
Point
 
Mbona bibi zetu walikua wanaolewa wakiwa na 14 yrs? Huko tumeenda mbali, quran yenyewe tu inaruhusu hata wa 15 aolewe, yy nani awe na 20 akatae kuolewa?
Shida nimegundua kuna hawa wadada mafeminists ambao age imeenda wamefika umri sasa wamechakaa so wanagundua competition yao ni hawa mabinti wa umri wa miaka chini ya 25 so wanafanya kila wanaloweza kuwashawishi kuwa wanaume ni watu wabaya kwao ili at least waweze kubalance maumivu.

Maana huwa wanashindwa kuimagine life wao wakiwa hawana tena uwezo wa kuvutia mwanaume halafu mabinti wadogo wanagombewa na wanaume ambao wao ndio walitamani wawe nao.

So kuharibu hii nature wanaanza kushawishi serikali kuwa sheria ziwekwe kuwalinda mabinti dhidi ya wanaume. Sasa wewe imagine unaambiwa binti wa miaka 20 ni mtoto mdogo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaani hapo wanatamani sheria iseme ni marufuku mwanaume kudate na binti chini ya miaka 28 ili wao sasa wawe na soko wanaume wawe wanatoka nao kihalali. Ila ndio hivyo tena haiwezekani. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wapo wengine miaka 16 ila biologically yupo tayari ndio maana umri wa miaka 18 umekaa kitata sana katika kudetermine umri sahihi kwa mwanamke kuanza mahusiano.
 
Walio wengi wanaponzwa na ile hali ya kutaka kuolewa na wanaume wenye maisha mazuri huku wakisahau kwamba inawezekana akaolewa na maisha mazuri yakamkuta huko.

Nina ndugu yangu saa hii anaenda 32 kilichobakia anawaza walau apate tu mwanaume wa kumpa mimba ili hata azae alee mwenyewe sababu hapati wa kumwambia atamwoa.
 
Atakuwa sio mrembo angekuwa mrembo na shundu angepata tu
 
32 mbona bado mdada mbichi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…