Zemanda
JF-Expert Member
- Jan 10, 2021
- 8,323
- 18,051
Tokea lini mwanamke akapenda? Mwanamke nje ya hisia zake za awali huwa anakuwa na tamaa ya vitu anavyohodhi mwanaume.Hamnaaaa [emoji35]
Mbona sisi tunaowapenda wala hawatupendi [emoji1787]
Acha kila mtu atesekee upande wake
Yaani ipo hivi, mwanamke akiona mwanaume ana vitu ambavyo yeye mwanamke anaviona ndivyo vitampa maisha mazuri na ya starehe then hapo huwa anajitiisha na kujiweka kama mahala salama. Halafu ndipo huwa mnasema nimependa. Hapana haujapenda umetamani.
Njia ya asili ni mwanaume yeye anavutiwa na wewe then anaanza kukuteka kwa kuchukua mahitaji yako muhimu na kugeuza kuwa majukumu yake ili wewe upate nafuu ya kuishi na kuanza kutii amri yake kisha baada ya hapo unaingia katika maisha yake na kuanza kupanga nae maisha period.