Nyie wanawake mnaoringa sasa hivi niko pale nawasubiri mkigusa 30s

Nyie wanawake mnaoringa sasa hivi niko pale nawasubiri mkigusa 30s

Hamnaaaa [emoji35]
Mbona sisi tunaowapenda wala hawatupendi [emoji1787]
Acha kila mtu atesekee upande wake
Tokea lini mwanamke akapenda? Mwanamke nje ya hisia zake za awali huwa anakuwa na tamaa ya vitu anavyohodhi mwanaume.

Yaani ipo hivi, mwanamke akiona mwanaume ana vitu ambavyo yeye mwanamke anaviona ndivyo vitampa maisha mazuri na ya starehe then hapo huwa anajitiisha na kujiweka kama mahala salama. Halafu ndipo huwa mnasema nimependa. Hapana haujapenda umetamani.

Njia ya asili ni mwanaume yeye anavutiwa na wewe then anaanza kukuteka kwa kuchukua mahitaji yako muhimu na kugeuza kuwa majukumu yake ili wewe upate nafuu ya kuishi na kuanza kutii amri yake kisha baada ya hapo unaingia katika maisha yake na kuanza kupanga nae maisha period.
 
Umri aint nothing in a Mariage purpose..Binadam wote tumeumbwa in Pairs hao wanawake ata wakifika 45 years kama wameandikiwa Ndoa wataolewa tu..its matter of Qadar kama uliandikiwa Ndoa utaipata..!!!
Miaka 45 unaingia Kwenye ndoa na mwanaume wa aina gani huyo and the worst part is mnakwenda kufanya nini sasa huko kwenye ndoa at that late moment ya maisha?!
 
Tokea lini mwanamke akapenda? Mwanamke nje ya hisia zake za awali huwa anakuwa na tamaa ya vitu anavyohodhi mwanaume.

Yaani ipo hivi, mwanamke akiona mwanaume ana vitu ambavyo yeye mwanamke anaviona ndivyo vitampa maisha mazuri na ya starehe then hapo huwa anajitiisha na kujiweka kama mahala salama. Halafu ndipo huwa mnasema nimependa. Hapana haujapenda umetamani.

Njia ya asili ni mwanaume yeye anavutiwa na wewe then anaanza kukuteka kwa kuchukua mahitaji yako muhimu na kugeuza kuwa majukumu yake ili wewe upate nafuu ya kuishi na kuanza kutii amri yake kisha baada ya hapo unaingia katika maisha yake na kuanza kupanga nae maisha period.
Hahahahahah point ni ile ile,,, njaa ndo zinawapeleka kibla kwa watu ambao hata sio sahihi.
 
Mexicans tena 😀😀😀
Umesahau tu kiungo cha tangawizi, kwamba mwanamke hataki 500k? Kwa ajili ya kuwa mke halali, kwa hiyo hawezi ichukua na kuwa mke halali? Tafuteni hela vijana achaneni na kuangalia tamthiliya za mexicans ambao wote sauti zao zaonyesha ni mashoga.
 
Ukiona umepata mke baada ya kufanikiwa maishani jua huyo ni mnafiki kakipenda kibunda chako tu

Ishi naye tu lakini filisika ndo utajua tabia yale
[emoji3581]
IMG_20230116_161357.jpg
 
Juu kdg ulikua na point ila hapa ukapuyanga.

Sio kwamba wako tyr lkn wanaona value yao ishashuka, na sio kwamba value imeshuka sababu actually wanakua hawana hio value lkn umri ukishaenda ndipo wanauona ukweli.

Ni kama vile muuza bidhaa tu, akiona zinaenda kuexpire atakupa bei ya chini hata kama ni hasara
Point
 
Mbona bibi zetu walikua wanaolewa wakiwa na 14 yrs? Huko tumeenda mbali, quran yenyewe tu inaruhusu hata wa 15 aolewe, yy nani awe na 20 akatae kuolewa?
Shida nimegundua kuna hawa wadada mafeminists ambao age imeenda wamefika umri sasa wamechakaa so wanagundua competition yao ni hawa mabinti wa umri wa miaka chini ya 25 so wanafanya kila wanaloweza kuwashawishi kuwa wanaume ni watu wabaya kwao ili at least waweze kubalance maumivu.

Maana huwa wanashindwa kuimagine life wao wakiwa hawana tena uwezo wa kuvutia mwanaume halafu mabinti wadogo wanagombewa na wanaume ambao wao ndio walitamani wawe nao.

So kuharibu hii nature wanaanza kushawishi serikali kuwa sheria ziwekwe kuwalinda mabinti dhidi ya wanaume. Sasa wewe imagine unaambiwa binti wa miaka 20 ni mtoto mdogo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaani hapo wanatamani sheria iseme ni marufuku mwanaume kudate na binti chini ya miaka 28 ili wao sasa wawe na soko wanaume wawe wanatoka nao kihalali. Ila ndio hivyo tena haiwezekani. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwanza binti akiwa na 20s ni more than ready kwa ndoa, hao wanaokataa ndio tunawasubiri wafike 30s waanze kutusumbua nasi tutakua tunawaenjoy tu.

Pili kwenye ndoa binti kazi yake ni kusikiliza mme wake anasema nini so hata akiwa na akili za kitoto haina shida, kumbuka mwanamke anawekwa kwenye special group pamoja na watoto. Mwanamke ni mtoto mkubwa waswahili wanasema
Wapo wengine miaka 16 ila biologically yupo tayari ndio maana umri wa miaka 18 umekaa kitata sana katika kudetermine umri sahihi kwa mwanamke kuanza mahusiano.
 
Walio wengi wanaponzwa na ile hali ya kutaka kuolewa na wanaume wenye maisha mazuri huku wakisahau kwamba inawezekana akaolewa na maisha mazuri yakamkuta huko.

Nina ndugu yangu saa hii anaenda 32 kilichobakia anawaza walau apate tu mwanaume wa kumpa mimba ili hata azae alee mwenyewe sababu hapati wa kumwambia atamwoa.
 
Atakuwa sio mrembo angekuwa mrembo na shundu angepata tu
 
Walio wengi wanaponzwa na ile hali ya kutaka kuolewa na wanaume wenye maisha mazuri huku wakisahau kwamba inawezekana akaolewa na maisha mazuri yakamkuta huko.

Nina ndugu yangu saa hii anaenda 32 kilichobakia anawaza walau apate tu mwanaume wa kumpa mimba ili hata azae alee mwenyewe sababu hapati wa kumwambia atamwoa.
32 mbona bado mdada mbichi tu
 
Back
Top Bottom