Nyie wanawake mnaoringa sasa hivi niko pale nawasubiri mkigusa 30s

Wanataka wakiolewa wakute maisha yamesimama tayari. Nyumba nzuri, Gari ya mtoko. n.k maisha fulani ya kwenye movie.
 
Mbona unawasubiria huko wameshachoka si upambane nao bado wakiwa wa Moto mkuu. Ni sawa unasubiria mtu afilisike ili upate amani ya moyoni. Yaani by nature our mind loves evils shits and negatives. Inapenda hasara kuliko faida
 
So kama ni mzinifu usifikirie kila mtu yupo ivyo
 
Acha kupika pika mambo hapa bwana. Wanaotafuta wanawake ndio wanajua wanakutana na sampuli zipi.

Wewe hao mabikra wa miaka 30 ukutane nao wewe tu khaaa.
Kama wewe wa hovyo Haina shaka utakutana na type yako usiwez na jazba hayo ndo malipo ya hapa hapa duniani.
 
Ni kweli kabisa na huwa nawaona kibao, yaani huwa wanajifanya wanajiamini kumbe sio huwa wanaigiza tu hizo confindence.
 
Mkuu kwa hii point nachangia mifuko 20 ya cement lijengwe sanamu lako hapo HQ za Jf.

Kuna kama huyu Shangazi karume ni mpuuzi kuliko watu wote nloshawahi kuwaona, kwanza anatetea ushoga, pili anakuja na hizi sera za kudai below 18 hapaswi kuolewa, agenda yao kuu ni kuharibu natural flow, kazi ya shetani kabisa.

Mm ndio maana nlikubaliana na the rate Magu kwenye swala la kuwazuia walopata mimba kuendelea na shule, sema tu aliiweka vibaya. Angesema kwamba kama binti kapata mimba kwa kurudhia basi aolewe tu sababu ashatoka utotoni huyo
 
Safi sana mkuu leta notse hizo 🤗🤗
 
Mkuu umesema yote aisee mjadala ufungwe tuanze upya
 
Ukikubali kumuoa mwanamke lazima ukubalu kusahau yote ya nyuma
 
Sikatai.

Konyagi na Whiskey zote ni pombe kali, lkn angalia wanywaji wake ndo utaona utofauti
Hata whisky zina grade. Zipo za $10 kwa 0.75 liter na zipo za $40 au zaidi kwa 0.75 liter. The best original whiskey in Scotch Whiskey na hata hizo zina bei tofauti na wanywaji nao wanatofatiana, chukulia regula John Walker, John Walker red label, John Walker black label, na John Walker green label.
 
hiyo inaitwa wivu.
 
nimepukapata vizuri mkuu Half american , ina maana wapo wanawake ambao hawana kabisa matamanio ya kuishi maisha ya ndoa? basi inaonesha mwanamke akifika umri fulani kama bado hajaolewa, chance ya yeye kuolewa inakuwa imepungua pungua.
Ni kweli uwezekano wa mwanamke kuolewa unapungua jinsi umri unavyoongezeka. Ila kuna wengine wanapataga bahati hata kama wana watoto wadogo na wakubwa. Mara nyingi hawa huolewa na wanaume walioachika/walioacha, wenye watoto wakubwa, na wanachotafuta ni mwananme wa kuishi naye awe akimpikia na kumpa mbususu. Unajuwa mtu ukifika 55+ hutamani tena ndoa na wasichana. Kwa unatafuta mchovu mwenzako aliye kwenye forties wa kukupozea nyege. Some of these make good wives maana wanapata kinga ya kuchumi na watoto wao pia wanasaidiwa hasa kama mababa za watoto ni deadbeat fathers.
 
Ndo maana namwambia huyo jamaa hata K za thaman ya Nissan Dualis zipo ukiachilia mbali nyumba na viwanja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…