Nyie wanawake mnaoringa sasa hivi niko pale nawasubiri mkigusa 30s

Ina maana mkuu Showmax wanawake sometime huwa wanajutia wanaume waliowahi kuwakataa siku za nyuma?
Hio kawaida. Kuna story nlitoa hapo juu khs dem alonitemaga nikiwa ndo nmetoka chuo, japo mdau fln alikoment kwamba nlikua nalazimisha mapenzi ila ukweli ni kwamba yule dem alikua tu na tamaa ya pesa na mm sikua nazo wakati ule.

Sasa wengi wanaowaacha wanaume kisa tamaa ndio huja kujutia baadae, sasa hivi anaona status zangu tu na kujishobokesha lkn hata mia siwezi kumpa bure bora nikaitupe
 
Sasa jamani mie natafuta mwanamke wakunjzalia wee wala hunipigii pande mwananchi😲😲
Ebu fanya kama unatoa assist ya aziz kii kwa mayele tufunge goli
 
Wanadanganyana oh mtegeshee upuuzi mtupu.
Sijui hawaelewi kuwa kugegedana kavu haimaanishi kuwa kidume anataka mtoto. Nikitaka mtoto sii nitakwambia. Wanakera sana.
 

Na mimi nawasubiriaga hao mashangazi wakuanzia 30 kwenda juu ndo napita nao..... hawana usumbufu sana kama hawa mabinti wa miaka 22/23
 
Mfano mzuri yupo mwamba anajiita captango instagram anamiliki mahoteli zanzibar na kampuni za tours, akiwa down alitoswa na demu aliambiwa na demu hana future kipindi hicho ni masikini hana kitu, hio speech ilimuumiza Sana alikuwa kampenda Sana huyo demu ikampa spirit ya kupambana leo ni tajiri. Wasichokielewa watoto wa kike maisha hayasimama akikuona leo upo down huna kitu wao ukariri ndo ushafeli hivyo dharau kibao.
Kusota ni miaka kutoka ni siku moja tu.
 
Kwanza hiyo 200k unaacha ni matumizi mabaya ya pesa,tukutane kwenye kikao mwisho wa mwezi
 
Uzuri wa masajari
Ila kweli anatumia hela nyingi
 
Nyie vibinti under 30 tukitaka kuwaweka ndani punguzeni nyodo, heshimu sana mwanaume anaetaka kukuoa kwa hali hii ya sasa.
Huwa vina kauli fulani hivi eti vinajibu "sijamaliza mambo yangu, nikimaliza ndiyo nitaingia kwenye ndoa". Utadhani vina mipango fulani amazing kumbe uzinzi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…