Teslarati
JF-Expert Member
- Nov 21, 2019
- 2,621
- 10,466
- Thread starter
- #481
Hio kawaida. Kuna story nlitoa hapo juu khs dem alonitemaga nikiwa ndo nmetoka chuo, japo mdau fln alikoment kwamba nlikua nalazimisha mapenzi ila ukweli ni kwamba yule dem alikua tu na tamaa ya pesa na mm sikua nazo wakati ule.Ina maana mkuu Showmax wanawake sometime huwa wanajutia wanaume waliowahi kuwakataa siku za nyuma?
Sasa wengi wanaowaacha wanaume kisa tamaa ndio huja kujutia baadae, sasa hivi anaona status zangu tu na kujishobokesha lkn hata mia siwezi kumpa bure bora nikaitupe