Nyie wanawake mnaoringa sasa hivi niko pale nawasubiri mkigusa 30s

Nimekupata mkuu Teslarati , umetoa shule kubwa hapa. Big up! Kwahiyo kwa mwanaume 30s kikawaida bado anakuwa ana mvuto labda akiwa kwenye late 40s ndio utu zima unaanza kujionesha?
Kumbe kuna wanawake wanamchukia Zari kutokana na uzuri wake. Inaonesha mwanamke anaweza kumhate mwenzake kwasababu ya mvuto tu.
 
Mwanaume kwenye late 20s hadi late 40s ndo anakua hot cake, Harvard Research zinasema hivo.

Wanawake wapo complicated sana hasa kuhusu mambo ya hate/like ila naona wanachukianaga sana kama mmojawapo amewazidi uzuri
 
Sisi tukifikisha 30 ww utakua ushazeeka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…