Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo mnataka wenye mahela sio? Muwachune vizuri😀kwanza ela zao bajet Kali 😀😀wanawake tunashindwaga hapo
Wala hatujui tunataka Nini😂😂😂Kwa hiyo mnataka wenye mahela sio? Muwachune vizuri😀
Mwanaume hazeeki mkuu, anakufa tuSisi tukifikisha 30 ww utakua ushazeeka.
Aah mi sijasema kitu😂 ila mjini ndo Nimefika mchana huu nashangaa barabara nane mbezi hapaHaahahaha
we jamaa mjini umeingia lini?
Akiwa virgin jeUoe mtu ana 30 yrs duuh. Hapo ana maex kama 6 hivi.
Duu ...Akiwa virgin je
Usibishe kwamba hawapo
Huwa wanazihusudu wakiwa hawana,wakizipata wanahusudu wanachokikosa.Si huwa mnazihusudu sana iweje leo useme sio kila kitu? Kulikoni
Kumbe To Yeye na Depal ni IDs 1 katika majina mawili tofauti? [emoji15][emoji23]Wengine yan basi tu
Kuna huyo mmoja, alikuwa n ticha
Jioni nikipita kazini kwake unakuta ana michaki mpk kwenye nguo.
Kwani kaka ukiwa mwalimu ndio lazima ubaki na uthibitisho wa michaki??
Unamuelekeza mtu haelekei
Cha kufia nn
😂😂Ndo unajidanganya hivo eeeh.Mwanaume hazeeki mkuu, anakufa tu
IDKKumbe To Yeye na Depal ni IDs 1 katika majina mawili tofauti? [emoji15][emoji23]
[emoji2960]Mwalimu ni tall dark
Ana kiforesta chake no D
Lkn ndo vile tena, unavyovitaka awe navyo na unajua kabisa viko ndani ya uwezo wake haviwezi kujipambania [emoji19]
Ila mjue kuna nyakati pesa si kila kitu.
Aisee kumbe sasa nimeelewaHuwa wanazihusudu wakiwa hawana,wakizipata wanahusudu wanachokikosa.
Crdb 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Aisee kumbe sasa nimeelewa
Nshaelewa 😂😂😂Crdb 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
KwendraaaNshaelewa 😂😂😂
Sikwendriii na hata nikikwendraa nimeshaelewa.Kwendraaa