Nilishawahi kuandikaga humu mara nyingi tuu kuhusu visa vya wanangu ni story ndefu ila mwisho wa siku waliachwa wakapitia msoto nao wote poa sasa hivi.
Tena huyu mmoja alipigwa kibuti mara mbili,Mara ya kwanza chuo mara ya pili kipindi tuna hastle kitaa,huyo aliye achwa mara mbili sasa hivi anasukuma Vanguard na huyu mwengine nilikuwa napiga nae tempo, demu alimwacha baada ya kupata kazi kwenye kampuni moja ya maswala ya audit, mwana sasa hivi anakunja 2.1+m,marupurupu na mazagazaga kibao plus safari nae anasukuma Rumion.
Ila huyu mwenye Rumion naona kama analipiza kisasi ni anatembeza rungu kwa wakina dada wanao mshobokea, huyu mwenye Vanguard kaoa mwaka huu.Ila huyu mwenye Rumion sijui ataoa lini maana,anawatomb* mademu vibaya mno, ukijaribu kumshauri anakwambia "......hawa wapuuzi wameniumiza sana acha tu ni watomb*lee mbali..........".