Nyie watu wa dar sasa hapa cha ajabu ni kitu gan? Au ni ushamba wenu tu

1.Mwenye akili awezi kutembea na m3 mkononi kwa ulimwengu wa sasa watu wanatembea na bank card au pesa kwenye simu,m3 inaweza kuwa kitu kidogo kwako ila linapokuja swala la usalama ndo utajua ni ndogo au kubwa endelea kutafuta sifa ivyo ivyo.
2.watu walikuwa awashangai pesa uliyo beba watu walikuwa wanashangaa akili yako ilivyo mbovu kujiatarishia maisha kwa kujifanya unaonyesha hela ulivyo mjinga ukaona wanashangaa hela zako kua kiakili
3.PUNGUZA UONGO!!!!!!
 

Choka mbaya waliotukuka utawajua tu.
 
We jamaa ni limbukeni haijawahi tokea Africa mashariki na kati. Sasa fix hizi za enzi za 90's huko unaleta kizazi cha leo hiki
 
Neno "wapendwa ktk bwana" umelitumia mahali sio pake Jitahidi ubadili salamu yako..Humu jukwaani kuna hadi atheist,,tumia salamu ya generally na usimuinclude Bwana kwenye any sort of nonsense...By the way watu mnaozunguka ziwa Victoria punguzeni kula mapanki,,jitahidini kula na minofu inaongeza afya ya ubongo....makinikia mnayagombea na mapanki ni yenu mmekuwaje second people??? Yaani hata mtu akiamua kuwakanyagia wake zenu na akawaambia mbaki na mabeki tatu wenu mtaona sawa tu.
 
Bulungutu la milioni tatu? ilikuwa ni elfu elfu nini?
 
Eti nasikia yale "majani" yanapishana ukali: wanadai ile inayolimwa Arusha ni kali zaidi ya ile ya Njombe na Tarime.
 
Duh. Bado watu wanatembea na mabulungutu ya fedha wakati wengine tunatembea na mabulungutu ya kadi.

Lekagi buchilochilo babehi.


ahahahha tusi la bibi yangu hilo aisee !ahahah olenchionchilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…