Sema uko mbali....Leo nimeona mambo yasiwe mengi nimeamua kutoka bar ya jirani na kwangu hapa weekend hii, nyie wenzangu mnaenjoy wapi mimi naenjoy mbeziπππ
Copy that Roger, and soon una pata wifi.Leo natia team huko. Mida mida kama kawa, pamoja.
Naenjoy homeLeo nimeona mambo yasiwe mengi nimeamua kutoka bar ya jirani na kwangu hapa weekend hii, nyie wenzangu mnaenjoy wapi mimi naenjoy mbeziπππ
ulivyo na wanaume wengi ukilewa unampelekea yupi..?Leo nimeona mambo yasiwe mengi nimeamua kutoka bar ya jirani na kwangu hapa weekend hii, nyie wenzangu mnaenjoy wapi mimi naenjoy mbeziπππ
Si uende Juliana pale napo pazuri kiongoziSema uko mbezi beach kwa zena usihofu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tupo tunagombania daladala huku kwa mkapa
Acha uboya hata hapa nime jaribu Ina ita.Mbona Ile namba haipatikani?
washirikina wa kuji tegemea π€£πTulikuwa na kazi ya kufanya! Kamati ya Tangaaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila luv bhana.Niache leo ndiyo mara ya kwanza nakunywa hii bia. Sasa nisije ongea ya uvunguni bure. Naweza anza elezea hapa kitumbua kiko na mchoro upi bure [emoji850]
Juliana !!!! Nikucheke kwanzaSi uende Juliana pale napo pazuri kiongozi
Cheka ukimaliza niambieJuliana !!!! Nikucheke kwanza
Mawazo barπππUeyote atakaye kuwa mitaa ya element au samaki samaki anicheki pm tukutane tubadilishane mawazo wana jf
Hongera mkuu, umejipataπππNiko kwa..... Nasindikiza weekend!!
Mzagamuo hoyeeee!!
Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
Mimi niko hapa pick nic njoo tusalimiane,, nimevalia jacket la lee na round hat nyeusiShivaz nyuma ya golden rose
Jamani sitaki ninaowapenda msome haya πππππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila luv bhana.
Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
Anakula anaelipa biliulivyo na wanaume wengi ukilewa unampelekea yupi..?
Yupo Shing Yui apo πΉMimi niko hapa pick nic njoo tusalimiane,, nimevalia jacket la lee na round hat nyeusi