Nyie weekend mnaenjoy wapi?

Nyie weekend mnaenjoy wapi?

😁😁😁dah! Jamani mkuu mbona kwahiyo wapangaji haturuhusiwi kuenjoy
Yes hizo kauli ni za wapangaji , tena WA nyumba za uani , hivo hua tunawacheki na kukaa kimya maana pesa yenu ni muhimu kwa wenye nyumba hizo laki 4 kila mwezi ni muhimu Sana na hapo ulipo mwezi wa nne unatakiwa ulipe Kodi kama kawaida
 
Wewe utakuwa mchawi siyo bure🤔😢
 
Back
Top Bottom