Ukisikia nimeamua kutoka bar karibu na kwangu , yes wewe hapo ni mpangaji na sio mwenye nyumba, wapangaji hua mna matata sanaLeo nimeona mambo yasiwe mengi nimeamua kutoka bar ya jirani na kwangu hapa weekend hii, nyie wenzangu mnaenjoy wapi mimi naenjoy mbezi😎🙈😝